Rais Samia ameshazidiwa na wapigaji suala la bei ya petroli?

EWURA ndio regulator, lakini wamekalia kukusanya tozo tu pasipo kufanya kazi yoyote ya maana.

Kila ukinunua mafuta, umeme au maji kuna % inakwenda kwa wapuuzi hao ili wakalipane posho.
Hawa jamaa ni takataka kweli, yaani unafikiria bandari tunazo lakini wanashusha mzigo wa mafuta unaenda na nchi jirani lakini kwetu bei juu.
 
Kuna vitu tunashindwa kuelewa ndani ya bunge kumejaa makundi tofauti ,kuna watu wapo kwaajili ya kupendekeza mambo yao yasoge mbele, kuna watu wapo kwaajili ya posho , kuna watu wapo kwaajili ya uongozi n.k

Ndio maana kuna wananchi tumezama kwenye mtego kushindwa kuelewa nini maana ya KATIBA.

Leo Dubai, Sheikh Zayed Road, maeneo ya Business Bay. Mji wenye wenyeji ambao hawana muda wa porojo. Mji ulikuwa jangwa sasa ndio hivyo tena, wana rasilimali moja tu, petroli,yote inaenda kwenye mji na wananchi wake. Tusione vinaelea, vimeundwa.

Hospitalini hakuna dawa, shuleni hakuna viti, wabunge mishahara haitoshi nchi unahitaji kujengwa yaani sh 100 HAITOSHI! Wafanye hata 500. Maana wananchi wenyewe vichwa vigumu kuelewa.
 
Bongo bahti mbaya
 
Siku hizi mateja wameanza onekana pia maana yake madawa ya kulevya pia yako nje nje...
Halafu mtu anajinasibu eti yeye Ni kama Magufuli tusiwe na wasiwasi! Na sisi wananchi tunaitikia Kwa Chorus: "Mama ameanza vizuri na amerudisha Furaha"! Hivi kauli zingine huwa tunatafakari au zinatutoka tu kama udenda wa mtoto mchanga?
 
Which means unakumbuka mazuri ya Magu
 
Sasa Kikwete wakati prince mmiliki wa lake oil!
 
Lawama kwa mwigulu kiongeza kodi kwenye mafuta na kupunguza kodi ya kubeti na pombe
 
Kwa maoni yangu Mkuu Boss maza hajiamini hivyo wahuni ndani ya Serikali wamegundua hilo sasa wanamburuza tu watakavyo na yeye kwa kutaka kujionyesha anatoa ushirikiano basi ANADEMKA tu. Akiendelea hivi bila kuwa makini watapitisha vitu vya ajabu ajabu sana kwake kwa faida ya hao wahuni ndani ya Serikali na maccm. Ingekuwa vizuri awe na mtu kama CAG Assad ambaye anazijua namba kwa kina na athari zake kwa Taifa kwa namna moja au nyingine na pia atauliza maswali muafaka kabla hajamruhusu maza atie wino, vinginevyo itakula kwake.

 
Mama ni muimba ngonjera ila uwezo wa kuongoza nchi ni sifuri
 
Acha upuuzi wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…