Rais Samia ameshinda, watanzania tumeshinda, Taifa limeshinda na tunamaliza mwaka kwa ushindi

Yaani nikisoma upuuzi kama huu,huwa najiuliza,Hawa wanaishi bongo!au Mimi ndio nipo Iraq,au congo?jambo gani kafanya? Kwa data zipi?hapa umejaza uchawa mtupu,
Sasa hv ule wizi wa Kikwete ndio umerudi!
Ndege zinakuja zinabeba wanyama hai,kama wewe ni mccm,lazima umeshuhudia wizi wa kula,Rushwa kwenye chaguzi zenu za ndani,sasa kama huyo mama yenu kashindwa kudhibiti Rushwa kwenye chama,ataweza kwenye halmashauri na nchi kwa ujumla?Tafuta maisha,huu uchawa,
Ccm mnanuka hatari,kitu kzr,na nyie mnajua jinsi watz walivyokwisha washitukia,na sasa hv hata aibu hamna.
 
Acha upotoshaji wako hapa,Ndege ipi iliyobeba wanyama wetu hai? Ushahidi upo wapi wa video za hao wanyama wakipandishwa? Ushahidi wa video upo wapi ukionesha wanyama wakisombwa kutoka mbugani kwenda uwanja wa ndege kupakiwa?

Unasema Kuna Rushwa ya uchaguzi ndani ya chama changu Changu Cha CCM,Nataka nikuulize wewe ni mwanachama wa CCm? Umewahi kuchukua fomu ya kugombea? Umewahi kuteuliwa kugombea? Umewahi kuomba kura kugombea? Sasa Kama wewe siyo mwanachama Wala hujawahi kugombea je unaweza kuleta ushahidi wanyaraka au video juu ya utolewaji na upokeaji wa Rushwa miongoni mwa Wana CCM?

Unaweza ukaleta ushahidi wa wapi kukitokea na kufanyika vitendo vya Rushwa na ushahidi kuwepo halafu chama Kika kaa kimya pasipo kuchukua hatua? Acha kuandika vitu pasipo kuwa na ushahidi, CCM Ni chama kinachoongozwa kwa kuzingatia misingi take ,Sheria ,katiba taratibu na kanuni mbalimbali ,Ambapo ukikiuka misingi hiyo na ikabaibika lazima utachukuliwa hatua za kinidhamu haraka sana
 
Nani ata
Nani ataisadia Tanzania na vita ya rushwa! Rushwa ni tishio kubwa ya maendeleo yo yote. Hivi Rais anasikia kuhusu rushwa au kafumba sikio. Miradi mizuri hiyo; rushwa jamani kila mahali na kila eneo. Raisa okoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…