Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

Wajinga tu nyie, maisha magumu mtaani nyie mnatuletea mambo ya dialysis
 
Huyo Samia ni tajiri kiasi gani hadi awe anatoa tu mapesa mfukoni mwake?
Kama ni pesa yetu iliyotokana na kodi zetu msiseme kuwa rais katoa, semeni serikali imenunua. Samia sio serikali.
Magufuli ndio ameanzisha hizo kauli, na nyinyi wasukuma wenzie mkawa mnashupaa shingo kwa kusema eti, " NDEGE ZA MAGUFULI,nk
 
Huyo Samia ni tajiri kiasi gani hadi awe anatoa tu mapesa mfukoni mwake?
Kama ni pesa yetu iliyotokana na kodi zetu msiseme kuwa rais katoa, semeni serikali imenunua. Samia sio serikali.
Mkuu, wanachosha sana hawa watu yaani.Hii biashara ya chawa ni shida. Hela zetu walipakodi na nyingine ni za walipakodi wa kizungu,kichina lakini wanazimilikisha mifukoni mwa mtu ambaye hata mshahara wake sina uhakika kama unakatwa kodi.!disgusting!
 
Kwa hiyo Samia amenunua kwa hela yake kwa sababu hatukuelewi unapotuambia kuwa "Samia amenunua mashine za Dialysis".

Bado mnafikiri watu ni wajinga tu hivyo mnaweza mkawachezea akili kama mpendavyo. Samia hana pesa ya kutununulia hizo mashine ni pesa zetu tunazo kamuliwa kwenye kodi. Acha ushamba bwana.
 
Wajinga sana hao,badala ya kutupongeza sisi tuliotoa hela/kodi wao wanampongeza tuliemtuma/Rais.

Asilimia kubwa ya watz bado ni wajinga kupindukia.
 
Kwa hiyo Samia amenunua kwa hela yake kwa sababu hatukuelewi unapotuambia kuwa "Samia amenunua mashine za Dialysis".

Bado mnafikiri watu ni wajinga tu hivyo mnaweza mkawachezea akili kama mpendavyo. Samia hana pesa ya kutununulia hizo mashine ni pesa zetu tunazo kamuliwa kwenye kodi. Acha ushamba bwana.
S
Rais ndio Rais namba moja wa Tanzania unaelewa maana yake?
Pitia hii mkuu
 
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu ( dialysis ) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri,
Hongera sana Rais mnyenyekevu, Tunakuombea sana,
 
Back
Top Bottom