Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

Samia anawakilisha taasisi ya Uraisi, kwa iyo akisema Samia ni sawa mkuu
Sio sawa, uwe muelewa, rais hatoi hela anayetoa ni serikali ya Samia lakini sio Samia na ufahamu hiyo pesa ni kodi zetu tunazolipa, labda hilo pia huelewi.
 
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu ( dialysis ) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri,
===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan ,
===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha,Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii.
View attachment 2006409

VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA

Samia katoa 😁😁
 
Mkuu sio pesa zote ni kodi ya wananchi, kumbuka nyingine ni misaada ya wahisani na mikopo

Na serikali ina mihimili mitatu
Samia anasimama badala ya mhimili wa kwanza ( Raisi ) Ukisikia Samia ni sawa sawa na umesikia Raisi

Ndugai anasimama badala ya Bunge
Jaji mkuu anasimama badala ya Mahakama

Watu wanaposema Samia, wanamanisha Raisi kama mhimili ambao una nguvu kuliko mihimili mingine

Mkuu ni hesabu ndogo sana
 
Safi sana hii, Tanzania nakupenda sana,

Hakuna Kama Rais Samia
 
Hata hizo pesa zinazotoka kwa wahisani zinakopwa kwa ajili ya wananchi na sio vinginevyo ila mwisho elewa tu kwamba rais hatoi pesa.

Pesa zinatolewa na serikali na ni kodi za wananchi na hata hizo zinazokopwa nje deni ni kwa nchi na sio rais. Acheni siasa za kijinga.
 
Mkuu uwe muelewa, Raisi ni Taasisi sio mtu
 
Hii tabia ya ku personalize shughuli za Serikali kwa majima ya watu ilianza awamu ya tano na sasa inazidi kumea

Jizoesheni kusema Serikali imefanya hivi na vile badala ya kutaja jina la Kiongozi wa hiyo Serikali,

Tabia hii inamkuza na kujiona ni mtu wa aina yake sana, Hayati aliwahi kuhoji akiondoka atatokea mtu wa kujenga kweli madaraja? Ilitokana na sifa tunazompa
 
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu ( dialysis ) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri,
===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan ,
===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha,Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii.
View attachment 2006409

VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
6oyrs of independent unjaivunia kununua machine 6 za dialysis? kweli kabisa kabisa unajiasikia furaha?
 
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu ( dialysis ) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri,
===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan ,
===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha,Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii.
View attachment 2006409

VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA

KAZI IENDELEE

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote
 
Wakuu naombeni connection je nikinunua machines zangu mwenyewe nikafungua sehemu ya Dialysis naweza kupata co tract kutoka kwa serikali je wanaweza kunipa ushirikiano kweli??
 
Hivi mtakosaa nini kusema "Serikali imetoa"; hii personalization ya public office ndio inawafanya kina Sabaya kusema nilitumwa na Magufuli
 
Back
Top Bottom