Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

Mkuu uwe muelewa, Raisi ni Taasisi sio mtu
Rais ni taasisi huko kwingine lkn sio hapa ambapo rais anafanya atakavyo kama mtu binafsi ikiwemo hata kujenga kiwanja cha ndege kijijini kwake na mtu hasemi chochote.
 
Usidanganywe na media za nje mkuu, Raisi nchi yoyote anaweza fanya chochote anachotaka .!
 
Mmezoea mambo ya kiafrika kwenu huku ambako marais ni wafalme.... kwa wenye akili zao, marais wana mipaka na nguvu zao. Trump kakaa miaka 4 na alishindwa kujenga huo ukuta ambao kila siku alikuwa anaupigia pambio.
 
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri

===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan

===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha, Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii.

View attachment 2006409

VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
Mama tunakupenda sana watu wako
 
Sio kweli, unajua maana ya chochote anachotaka, labda Tanzania, Uganda, Rwanda, Equatorial Guinea, Congo Brazaville na Zimbabwe zimebaki nchi chache tu hata hivyo zenye kuendeshwa kíimla.
 
Mkuu angalia Korea, China, Urusi, Syria, Brazil, Venezuela, Saudi Arabia, Japan, USA, Mexico,Indonesia, Iran,

Nchi zote hizo nimekutajia ni nchi kubwa, niambia katika hizo ni nchi gani ambayo Raisi hana nguvu ya kufanya kile anachotaka .??
Kumbuka asipofanya kwao atafanya kwa nchi nyingine kwa sababu ana nguvu.

Mkuu usiamini western media, ziko kwa ajili ya kukupa taarifa unayotaka kusikia
 
Mmezoea mambo ya kiafrika kwenu huku ambako marais ni wafalme.... kwa wenye akili zao, marais wana mipaka na nguvu zao. Trump kakaa miaka 4 na alishindwa kujenga huo ukuta ambao kila siku alikuwa anaupigia pambio.
Mkuu ukuta ulijengwa sema haukumalizika.
 
Hii lugha iliyoanzishwa na mwendazake naona bado inaendelezwa.
 
Mkuu angalia Korea, China, Urusi, Syria, Brazil, Venezuela, Saudi Arabia, Japan, USA, Mexico,Indonesia, Iran,

Nchi zote hizo nimekutajia ni nchi kubwa, niambia katika hizo ni nchi gani ambayo Raisi hana nguvu ya kufanya kile anachotaka .??
Kumbuka asipofanya kwao atafanya kwa nchi nyingine kwa sababu ana nguvu.

Mkuu usiamini western media, ziko kwa ajili ya kukupa taarifa unayotaka kusikia
Ninachokataa ni hilo neno "Anachotaka" unalotumia hicho ni kitu ambacho hakipo na hakiwezekani kabisa katika Western Democracies ila ktk nchi za kiimla kama hii ya kwetu.
 
Unaangalia sana CNN ndio tatizo lako
 
Sijajua hiyo ni wapi dialysis ni chini ya laki moja lakini mara ya mwisho ndugu yetu kachajiwa 180 k kwa session Muhimbili na ni wiki iliyopita tu
 
Back
Top Bottom