Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

Hiyo ni mibongo lala itakusumbua tu ipotezee
 
Kwa hiyo tukisema "Samia afukuza wamachinga barabarani" tutakuwa sawa pia,au sio?
Vipi tukisema "Samia atangaza mgao wa maji Dar?"
Ni sawa kabisa, maana yake ni Taasisi ya Raisi ( Samia )
 
Tafuta clip ya Mkapa alipokuwa anatoa ushauri siku wastaafu wameitwa Ikulu.. Alionya juu ya haya mambo ya Rais kafanya hivi mara kafanya vile; semeni serikali imefanya
 
View attachment 2008803

Ndio maana nimekuuliza umesoma au unabwabwaja, CNN inakudanganya.
Mkuu hapa hicho ulicho-copy hapo ndio point yangu sasa. Alishindwa kupitia njia za kibunge akaamua kutumia emergency powers ambapo akaishia kupata 1.5bil usd na bado akajenga fence sio wall.

Again, weka picha ya ukuta aliojenga Trump
 
Mkuu aliposema wall hakuumanisha ukuta wa tofali, fence is enough to block entry
 
Huyo Samia ni tajiri kiasi gani hadi awe anatoa tu mapesa mfukoni mwake?
Kama ni pesa yetu iliyotokana na kodi zetu msiseme kuwa rais katoa, semeni serikali imenunua. Samia sio serikali.
Hii kasumba sijui itaisha lini, mpenda sifa mwendazake ameacha legacy mbaya sana
 
Hili linawezekana cheki Waziri wa afya mkuu
Asante sana tena sana mkuu na wala hamna neno kabisaaa.....kama una connection ya aina yoyote mkuu tuwasiliane hata PM tafadhali kama hutojali....maana nimekaa nimewaza sana hili swala na hasa kwa nchi yetu tunahitaji sanaa vitu kama hivi ambavyo ni vichache kwenye nchi yetu.....
 
Unamiss the bigger point, kwamba Rais wa Marekani hana mamlaka ya kifalme kama marais wetu huku
Anayo mkuu, Obama alikiri kufanya makosa kumpiga Libya, yale yalikua maamuzi yake, Bush alikiri kufanya makosa kumpiga Iraq. Sio hao tu wapo wengi waliopita walifanya vitu vilivyo leta majuto baadae

Usiwaamini sana waandishi wa mataifa ya nje
 
Again, hufuatilii mambo. Bush alichofanya Iraq na Obama alichofanya Libya vyote ni matokeo ya War Powers act iliyopita baada ya Sep 11 iliyoruhusu kupambana na ugaidi kokote kule. Hata vita Marekani haiamuliwi tu na Rais.

Fanya utafiti zaidi
 
Fanya utafiti mkuu

Obama hakuwahi kupata baraka toka UNITED NATIONS, pia hakuwahi kupata ruhusa kutoka Congress ya kumpiga Libya, kama kweli umesoma, utakumbuka Rep. Kucinich alishauri Congress kwamba Obama should be impeached sio tu kwa sababu hakupata baraka kutoka Congress bali pia hakuwahi kuwaambia pia hiyo dhamira yake ya kumpiga Libya

Hii inakupa picha gani.? Marekani ni taifa kubwa mwisho wa siku hili likaekwa kisiasa tu kukuaminisha ni Marekani alifanya na sio Raisi.
 
===
Mtakumbuka kuwa Rais Samia Suluhu Hassan ilikuokoa maisha ya watoto wa masikini alipunguza gharama za matibabu ya kuondoa uchafu kwenye damu (dialysis) hii ikiwa ni baada ya figo kushindwa kufanya kazi ya kuondoa maji na taka mwili kwenye damu vizuri

===
Rais Samia alipunguza bei ya dialysis kwa mara ya kwanza kutoka TZS 300,000 hadi kuwa chini ya TZS 100,000 sasa tayari huduma imeshafika kwenye hospitai za rufaa za mikoa sita ndani ya kipindi hiki kifupi cha Rais Samia Suluhu Hassan

===
Mikoa hiyo iliyofikiwa na huduma hii ya dialysis ni Tanga, Mtwara, Mara, Arusha, Kagera na Kigoma kwa Zitto Kabwe,Tuendelee kufurahia matunda ya Rais Samia Suluhu Hassan huku tukimwombea na kufanya kazi kwa bidii.

View attachment 2006409

VIVA SAMIA || VIVA TANZANIA VIVA
Kazi inaendelea vizuri
 
Hili la kumtukuza mtu kama pesa anatoa mfukoni mwake ni ujinga. Huu ni u Magufuli. Utasikia " raisi wetu mtukufu....
( Na nina juu) katoa sh. .........." Hii ni tabia ya kijinga inayoota mizizi kwa takribani viongozi wote. Huu ni ujinga. Kodi ni zetu au kama ni mikopo tunalipa ni sisi acheni ujinga.
 
Fanya utafiti mkuu

Obama hakuwahi kupata baraka toka UNITED NATIONS, pia hakuwahi kupata ruhusa kutoka Congress ya kumpiga Libya, kama kweli umesoma, utakumbuka Rep. Kucinich alishauri Congress kwamba Obama should be impeached sio tu kwa sababu hakupata baraka kutoka Congress bali pia hakuwahi kuwaambia pia hiyo dhamira yake ya kumpiga Libya

Hii inakupa picha gani.? Marekani ni taifa kubwa mwisho wa siku hili likaekwa kisiasa tu kukuaminisha ni Marekani alifanya na sio Raisi.
Baraka za UN sio kitu kwa US. Hata Iraq hakukuwa na baraka za UN. Kucinic alikuwa anafanya siasa. Obama na Trump wote wametumia loophole kwenye war on terror act. Na ndio maana baadhi ya wabunge wanataka ile authority ifutwe maana inatumika vibaya
 
Mkuu unaweza kufafanua vizuri hii?
 
Mkuu unaweza kufafanua vizuri hii?
US wana "War Powers Act", ambayo inadhibiti mamlaka ya Rais katika kuanzisha vita; labda iwe ni operations za ghafla kama ya kumuua Osama au za muda mfupi. Lakini authorization ya War on Terror, imekuwa kama haina ukomo. Kesho tunaweza kupigwa hapa kisa tunatuhumiwa "kuhifadhi magaidi Mtwara"
 
Baraka za UN sio kitu kwa US. Hata Iraq hakukuwa na baraka za UN. Kucinic alikuwa anafanya siasa. Obama na Trump wote wametumia loophole kwenye war on terror act. Na ndio maana baadhi ya wabunge wanataka ile authority ifutwe maana inatumika vibaya
Umekuja kulekule

Ndio sababu ya kusema Raisi nchi yoyote anaweza kufanya lolote.
 
Back
Top Bottom