Rais Samia ametoa mashine za Dialysis kwenye Hospitali za Rufaa sita

Umekuja kulekule

Ndio sababu ya kusema Raisi nchi yoyote anaweza kufanya lolote.
Naona huelewi unachosema.... anatumia mamlaka aliyopewa na muda wowote inaweza kufutwa na asiweze kuitumia tena.

Kasome Iran Contra scandal uone ni jinsi gani bunge la US lilivyo na nguvu.
 
Mama kama Mama
 
Ametoa mfukoni mwake?
 
Hongera sana Rais Samia
 
Mama kama Mama
 
Ngoja tuone kama ni kweli au uongo,
 
iko vizuri, Kaziiendelee
 

Hizo pesa za hizo machines kazitoa wapi Makunduchi?
 
Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan,
 
Tanzania na Samia,

1.Uchumi Juu,

2. Uwekezaji juu

3. Diplomasia juu

4. Amani & Upendo juu

5. Maendeleo juu

6. Demokrasia juu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…