NUMAN
JF-Expert Member
- Sep 3, 2019
- 807
- 1,164
- Thread starter
- #21
Kwahiyo huko kote sio karibu na makazi ya watu?1.Mi nipo Buswelu kona. Wameondoa vibanda vya mboga mboga wamepeleka Wilayani.
Nauli ya kutoka hapa mpaka wilayani ni elfu 1 kwenda na kurudi.
2.Machinga wa Makoroboi wamepelekwa Igogo. Toka mjini mpaka Igogo ni mia nane kwenda na kurudi.
Huoni hiyo?