Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
"Huwezi kufika ambapo mawazo yako hayajawahi kufika"Mama hana kazi bado hajafanya la maana
Ya kikwete ilikuwa bado haijakamilikaNyumba gani tena!jpm si alishawapa
Ova
Ah basi mama anakamilisha ahadi ya jpmYa kikwete ilikuwa bado haijakamilika
Rais SSH amemuagiza Waziri wa Utawala na Menejimenti ya Umma kuanza mara moja utekelezaji wa stahili zote anazostahli aliyekuwa Rais wa TANZANIA Hayati JPM
Ila ya mzee Ben alijikabidhi?alikabidhiwa kimya kimya, sijui imejengwa wapi.Shughuli hiyo muhimu ya kukabidhi nyumba ya kuishi maalumu kwa Mzee Kikwete imefanyika leo na Kuongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani
View attachment 1778625
View attachment 1778626