PreGE2025 Rais Samia ampa TSh 20 milioni Askofu wa jimbo jipya la Bagamoyo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wewe unafahamika ni kunguni mwandamizi.
Yes,
nafahamika vizuri sana kwa Mungu Mwenyezi muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani yake.

kwani kuna ubaya hapo gentleman?🐒
 
Kwa kuwa zimetoka sirikali ni vizuri kusema serikali imetoa shillingi millioni 20 kumsaidia Askofu.....
 
Maaskofu rudisheni hiyo pesa.
 
Ooh, hapo sawa!
Kama mbunge tu ana pesa za mfuko wa jimbo sasa rais atakosaje

kuna 10mil kila rais anapofanya ziara(yaan nikibunda anachotembea nacho kwenye magar),kuna wakat huwa hazitumii
 
Milioni ishirini kwa ajili ya mafuta..
Anaendesha scania au bus huyo askafu?
Kwakuwa kwa hiyari na kwa moyo ameona hivyo achana na maswali mengine kilichobaki ni mhusika kuona inatumikaje ili kutoa huduma kwa jamii ikiwa ni pamoja na sauti ya haki,uhuru,uwazi na amani kwa mambo ya kijamii na kitaifa.
 
Mi nilikua nahoji tu na kujiuliza kwa maana hio pesa ya mafuta tu unanunua gari..
 
Kutoa kodi zetu kuchangia makanisa na misikiti ni kuchanganya dini na siasa,na kwa hali tete iliyopo baada ya shambulio la Dr. Kitima hii ni rushwa ili kuliziba mdomo Kanisa Katoliki, hii haikubaliki kabisa.
 
Imeshakubalika wamepokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…