Ummy Shahuluru
Member
- Aug 30, 2018
- 89
- 88
Si tulikubariana nchi hii waislam hawajasoma ndio maana nafasi nyeti nyingi sana serikalini wamejaa wakristo?[emoji23][emoji23][emoji23]
Waislam wengi hawapendi shule,wengi vilaza tu.......hawawezi tosha kwenye hizo nafasi[emoji3][emoji3][emoji3]
Ndio maana JPM alikua anawachagua wa kanda ya ziwa tu
Huku Zanzibar unauliza uislam au ni chuki za kidini ndio zimejaa akilini mwako!! Na bado sana mtaupiga mwingiAwamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Sure majority kubwa ni waislam ila wakristo wapo but wanapewa nafasi za chini sana ambazo huwezi kuwaona wala kuwafikilia, inshort wamefichwa na kufichwa kwenyewe ni kwenye nafasi ambazo hawawezi kuonekana.
Ukifuatilia historia ya ukristo hapo Zanzibar ulikuwepo kitambo sana sema ulifanyiwa na unafanyiwa figisu na ndiyo maana makanisa yaliyopo hapa stone town na kule Mbweni karibu na afisi ya mkurugenzi wa uchaguzi ni ya karne nyingi kuliko msikitini ya hapa Zanzibar.
Jiwe alipowarusha vyeo zaidi ya vitatu maofisa wa uhamiaji, jeshi na polisi hamkusema maana alikuwa mnamwogopa leo madomo mmefunguliwa basi mnaropoka ovyo!!Amerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP )
Inaonekana wenye rank ya DCP hawana sifa za kuwa CP !
Ni ujinga tu kutuaminisha kuwa Zanzibar hakuna Wakristo.waliosoma! Hata television ya zanzibar ZBC washaifanya kama msikiti! Zanzibar mkristo kupata teuzi kazi kweli kweli!
Tatizo kubwa kwa sisi wabara ni ubabaishaji, unafiki mwingi na uwongon wa kupindukia! Unataka mama afanye nini kwa nini asifanye kazi na watu anaowamini, wanaojitambua na kufanya kazi kwa bidiii! Nchii ilikuwa kwenye giza unafiki ulikuwa unatawala lakini si kiongozi wa dini aliyethubutu kukemea au kusema chochote kuhusu duluma yote hii iliyokuwa inaendelea nchini.Mama ameteua mtu makini sana.Namfahamu Awadhi nilifanya naye kazi pahali akiwa polisi nami idara nyingine.Awadhi ni mwadilifu,amejaa hekima,ana busara , subira na ni mkweli.Pia ijapo ni polisi, ni mnyenyekevu.
Acheni kutazama udini ndugu,mimi sio muislamu lkn Awadhi seconded anafaa.
Haya mambo ya dini gn mmesahau mara hii yule alikuwa dini gani? Vipi hali ilikuwaje?
Tutegemee mabadiliko makumbwa kwenye wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama hivi karibuni huwenda mwezi huu kabla haujaisha.
mwaka wenu waislamu
Mzazi wako wa kiume ndio anaumama ndani yake ndio maana kashindwa kukulea kiume unakuja hapa kubwabwaja hovyo kama binti aliyshindwa kuona siku zake.Roho yaumaaaaaa
Mzazi wako wa kiume ndio anaumama ndani yake ndio maana kashindwa kukulea kiume unakuja hapa kubwabwaja hovyo kama binti aliyshindwa kuona siku zake.
Mzazi wako wa kiume ndio anaumama ndani yake ndio maana kashindwa kukulea kiume unakuja hapa kubwabwaja hovyo kama binti aliyshindwa kuona siku zake.
Unas shida sana wewe mvaa kobazi, umepata habari mmarekani kaua gaidi moja. Mna roho mbaya nyie wavaa kobazi na kanzu futi.Basi jitu kama hili waweza sikia lina cheo huko kanisani kwao.Umezaliwa na kukulia vijijini mahali ambako hukuwahi kuishi na watu wa dini nyingine ,Matamanio yako ni kuona mnaishi watu wa dini yako pekee jambo ambalo halitokaa litokee na litakutafuna kwenye maisha yako yote.Nakutakia mateso makali zaidi ya udini kaka kafiri.
Mwaka wenuWalikuwa hawajasoma nashangaa mara hii wamesoma?Dunia inaenda kasi sana.[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Acha ateuwe apendavyo... Nihaki yake hata akitaka nchi iwe ya ki islam nani wakumuuliza? Walio weka hiyo mifumo siwapo? Mm wacha nipambane na hali yangu...
IGP ajae huyo.... Save hii tareheRais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
View attachment 2105032
Una umri ganiKwanini Zanzibar wawe na mkuu wao wa jeshi la polisi na wakati ni jambo la muungano?
Basi tena wasameheBasi jitu kama hili waweza sikia lina cheo huko kanisani kwao.Umezaliwa na kukulia vijijini mahali ambako hukuwahi kuishi na watu wa dini nyingine ,Matamanio yako ni kuona mnaishi watu wa dini yako pekee jambo ambalo halitokaa litokee na litakutafuna kwenye maisha yako yote.Nakutakia mateso makali zaidi ya udini kaka kafiri.