Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Rais Samia ampandisha cheo ACP Awadhi Juma Haji kuwa Kamishina wa Polisi Zanzibar

Si tulikubariana nchi hii waislam hawajasoma ndio maana nafasi nyeti nyingi sana serikalini wamejaa wakristo?[emoji23][emoji23][emoji23]

Yaani sasa hivi wanalalamika kama mbwa anayekwenda kumezwa na chatu.Mama ananikosha huyu.
 
Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Huku Zanzibar unauliza uislam au ni chuki za kidini ndio zimejaa akilini mwako!! Na bado sana mtaupiga mwingi
 
Sure majority kubwa ni waislam ila wakristo wapo but wanapewa nafasi za chini sana ambazo huwezi kuwaona wala kuwafikilia, inshort wamefichwa na kufichwa kwenyewe ni kwenye nafasi ambazo hawawezi kuonekana.

Ukifuatilia historia ya ukristo hapo Zanzibar ulikuwepo kitambo sana sema ulifanyiwa na unafanyiwa figisu na ndiyo maana makanisa yaliyopo hapa stone town na kule Mbweni karibu na afisi ya mkurugenzi wa uchaguzi ni ya karne nyingi kuliko msikitini ya hapa Zanzibar.

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
 
Amerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP )
Inaonekana wenye rank ya DCP hawana sifa za kuwa CP !
Jiwe alipowarusha vyeo zaidi ya vitatu maofisa wa uhamiaji, jeshi na polisi hamkusema maana alikuwa mnamwogopa leo madomo mmefunguliwa basi mnaropoka ovyo!!
 
Hata bosi wa takukuru alirushwa kutoka ACP hadi CP, na akapewa shavu la takukuru.
 
Ni ujinga tu kutuaminisha kuwa Zanzibar hakuna Wakristo.waliosoma! Hata television ya zanzibar ZBC washaifanya kama msikiti! Zanzibar mkristo kupata teuzi kazi kweli kweli!

Kama ujinga wa awamu ilopita ya kuwaambia waislamu hawajasoma.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Awamu hii wenyewe mmeshika adabu zenu.Na bado mitano tena.
 
Mama ameteua mtu makini sana.Namfahamu Awadhi nilifanya naye kazi pahali akiwa polisi nami idara nyingine.Awadhi ni mwadilifu,amejaa hekima,ana busara , subira na ni mkweli.Pia ijapo ni polisi, ni mnyenyekevu.
Acheni kutazama udini ndugu,mimi sio muislamu lkn Awadhi seconded anafaa.
Haya mambo ya dini gn mmesahau mara hii yule alikuwa dini gani? Vipi hali ilikuwaje?
Tatizo kubwa kwa sisi wabara ni ubabaishaji, unafiki mwingi na uwongon wa kupindukia! Unataka mama afanye nini kwa nini asifanye kazi na watu anaowamini, wanaojitambua na kufanya kazi kwa bidiii! Nchii ilikuwa kwenye giza unafiki ulikuwa unatawala lakini si kiongozi wa dini aliyethubutu kukemea au kusema chochote kuhusu duluma yote hii iliyokuwa inaendelea nchini.
Leo mama anaachia uhuru analeta mabadiliko, kila anayejua kuropoka anaropoka apendavyo! Kumbuka kwamba dini ya kiislama na unafiki ni vitu mbalimbali, ndio maana mwenye kuushika uislam vizuri anaonekana mbaya wa kwa wababaishaji na wanafiki.
 
Mzazi wako wa kiume ndio anaumama ndani yake ndio maana kashindwa kukulea kiume unakuja hapa kubwabwaja hovyo kama binti aliyshindwa kuona siku zake.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mzazi wako wa kiume ndio anaumama ndani yake ndio maana kashindwa kukulea kiume unakuja hapa kubwabwaja hovyo kama binti aliyshindwa kuona siku zake.

Basi jitu kama hili waweza sikia lina cheo huko kanisani kwao.Umezaliwa na kukulia vijijini mahali ambako hukuwahi kuishi na watu wa dini nyingine ,Matamanio yako ni kuona mnaishi watu wa dini yako pekee jambo ambalo halitokaa litokee na litakutafuna kwenye maisha yako yote.Nakutakia mateso makali zaidi ya udini kaka kafiri.
 
Unas shida sana wewe mvaa kobazi, umepata habari mmarekani kaua gaidi moja. Mna roho mbaya nyie wavaa kobazi na kanzu futi.
 
Kuna mtu alikuaga Deputy IGP cheo ambacho wala hakipo ana vimacho hivi sijui anaitwaga Kanini sijui khanga sijui aliishiaga wapi
 
Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.

Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.

Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!

View attachment 2105032
IGP ajae huyo.... Save hii tarehe
 
Basi jitu kama hili waweza sikia lina cheo huko kanisani kwao.Umezaliwa na kukulia vijijini mahali ambako hukuwahi kuishi na watu wa dini nyingine ,Matamanio yako ni kuona mnaishi watu wa dini yako pekee jambo ambalo halitokaa litokee na litakutafuna kwenye maisha yako yote.Nakutakia mateso makali zaidi ya udini kaka kafiri.
Basi tena wasamehe
 
Back
Top Bottom