wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
Sirro kabla hajawa IGP unajua alikuaje?Asilimia kubwa ya Askari Wa jeshi la polisi sio waadilifu wananyanyasa Sana raia Ila kwa huyo afande Hawadhi ni mchapakazi Na very humble guy anastahili hata kuwa IGP
Jiwe alipoteua wasukuma mbona hatukalalamika?Saa 100 watu wake yeye ni waislamu na wazanzibari
Akiteua mgalatia jua ametumika kama bosheni kuficha udini na uzanzibari wake
Sijui nijuzeSirro kabla hajawa IGP unajua alikuaje?
Very humble man,alipendwa mpk na wapinzani na hata majimbo ya Nyamagana na Ilemela Chadema waliyapata Sirro akiwa RPC baada ya kuiambia tume tangazeni matokeo haraka hatuna uwezo wa kuzuia hawa watu hapa halmashauri.Sijui nijuze
Acha kulalamika kinafiki,kwani waislamu hastahili kuwa viongozi?Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Kumbukizi Tamu, asante sana mkuuVery humble man,alipendwa mpk na wapinzani na hata majimbo ya Nyamagana na Ilemela Chadema waliyapata Sirro akiwa RPC baada ya kuiambia tume tangazeni matokeo haraka hatuna uwezo wa kuzuia hawa watu hapa halmashauri.
Baada ya kua IGP ndio akawa hivyo alivyo.So hata Nani achaguliwe kua IGP atafuata matakwa ya CCM/serikali atake asitake.
Imeisha hio.
Pamoja mkuu.Kumbukizi Tamu, asante sana mkuu
Aliyeua ni Sirro?Ni kweli hata polisi Saba kuuwa mwananchi ili wampore milioni 70 ni mapungufu ya kibinadamu...
Amepandishwa cheo na kuteuliwa kuwa kamishna wa Polisi Zanzibar.Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Sio tuu akili hadi bahati.Hivi kumbe rais anaandikia left. Wanakuaga na akili haoo. Hongera kamishna awadh kwa uteuzi
Dalili mbaya, hao si wana wimbo wao wa taifa, bendera yao na hata rais ni kivyaoRais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar...
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.....
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!View attachment 2104174
Hamduni apewe kuwa IGPTz huku polisi siro kazi ishamshimda anahangaika na zanzibar yani huyu 2025 amalize aondoke
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
Amerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP )Amepandishwa cheo na kuteuliwa kuwa kamishna wa Polisi Zanzibar.
Kama wana sifa hebu waacheni...pili wengi wa mafisadi ni sisi tunaojiita Wakristo.Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Inawezekana, haya mambo yapo!!Amerushwa vyeo viwili, kutoka ACP kwenda CP kuna (SACP na DCP )
Inaonekana wenye rank ya DCP hawana sifa za kuwa CP !
Dalili mbaya kivipi? Acha kuchochea chungu cha mawe!!Dalili mbaya, hao si wana wimbo wao wa taifa, bendera yao na hata rais ni kivyao