Pulchra Animo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 3,718
- 3,465
Hata mm nimeshindwa kuelewa imekaaje katoka Direct ACP to CP
Lkn wana nchi wana diniAcha mawazo ya kizamani nchi hii haina dini
Huyo bibi ushungi ni mdini wa kutupwa.Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
Mbona huyu hana sasa.Hivi kumbe rais anaandikia left. Wanakuaga na akili haoo. Hongera kamishna awadh kwa uteuzi
Kama wewe huangalii bibi tozo na malolo yake anaangalia ndo maana anawapendelea waislam.Hatuangalii dini wala kabila la mtu katika uteuzi wowote ule, mtu huangaliwa uwezo wake kielimu na uadilifu.
Anaupiga mwingi kwa kuwabeba Waislamu wenzake na Wazanzibari wenzake??.Hivi maana ya kuupiga mwingi inaeleweka kweli??.Rais wa jamhuri ya Muungano Samia Suluhu amempandisha cheo ACP Awadhi Juma kuwa kamishina na pia amempandisha tena na kuwa kamishina wa polisi Zanzibar.
Jamaa ameula kweli kweli maana amepandishwa mara mbili.
Hakika mama anaendelea kuupiga mwingi!
View attachment 2105032
Ni imani tu hizo.Hivi kumbe rais anaandikia left. Wanakuaga na akili haoo. Hongera kamishna awadh kwa uteuzi
Amekomeaha ujambazi wa bila uniform na kuhararisha ujambazi wa kidola.Tunampenda Simon Nyakorro Sirro kwa sababu yy ndiye kakomesha ujambazi wa kutisha hapa nchini. Mengineyo ni mapungufu ya wana wa Afam
CCM ni ile ile zama za Magumashi ilikuwa ni watu wa kanda ya ziwa haswa Wasukuma, Wakristo tena Wakatoliki.Awamu hii waislamu wanakula kuku kwa mrija,kuanzia mawaziri mpaka mapolisi.
Siku ya leo tu kafanya teuzi tatu,na wote ni waislamu.sijui haoni hata aibu
We unazo?Mbona huyu hana sasa.
Kwanini Zanzibar wawe na mkuu wao wa jeshi la polisi na wakati ni jambo la muungano?Huyo aliyepandishwa cheo leo subiri baada ya siku chache utasikia Simon Sirro katenguliwa na kupangiwa kazi nyingine, afu huyo Mzanzibar anakuwa IGP mpya
Kwanini Zanzibar wawe na mkuu wao wa jeshi la polisi na wakati ni jambo la muungano?Huyo aliyepandishwa cheo leo subiri baada ya siku chache utasikia Simon Sirro katenguliwa na kupangiwa kazi nyingine, afu huyo Mzanzibar anakuwa IGP mpya
Mkuu kama huyu ni yule aliyekuwa trafiki basi ni mrangi.ok hapo sawa ila huyu jamaa alipokuwa trafiki alipitiliza alikuwa anadhalilisha sana madereva . Kumbe ni Mzenji nilidhania Mpare . Hongera zako
Asante mkuu kwa ufafanuzi kumbe huwa ni mrangi.Mkuu kama huyu ni yule aliyekuwa trafiki basi ni mrangi.
99% ya wanzazibari waislamu.zanzibar ndivo ilivo miaka yote hata wakuu wa mikoa ya kule ni waislamu na ngazi zingine zote, sio upendeleo moja ya sababu watu wengi kule ni waislamu hivo ndio mana wapo wengi serikalini