Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

Kipindi Janabi anasoma Udaktari Tanzania Kulikuwa hakuna Chuo cha Udaktari Usiptoshe Mkuu
Muhimbili (by then Dar Es Salaam medical school then mwaka 1968 ikawa faculty of medicine of university of Dar Es Salaam) goes a way back Prof. Janabi akiwa kijana mdogo.
Graduate wa Kwanza MD Muhimbili wamemaliza mwaka 1974. Sasa niambie kama mwaka 1974 tayari Janabi alikuwa ameshakuwa daktari.
 
Nafasi hizi kumbe si za utashi wa mtu?

Mpaka apendekezwe na Rais wa nchi?

Hakuna form za kujaza, hii nafasi inahitajika na wengi na mimi nikiwemo!

Kwa hiyo kama sijapendekezwa na Mh.Rais sina pa kutokea?
 
Nafasi hizi kumbe si za utashi wa mtu?

Mpaka apendekezwe na Rais wa nchi?

Hakuna form za kujaza, hii nafasi inahitajika na wengi na mimi nikiwemo!

Kwa hiyo kama sijapendekezwa na Mh.Rais sina pa kutokea?
Ndio CCM imeamua hivyo hutaki amia Burundi
 
Hii Taarifa Yako.Sio Kweli..
Muhimbili Ilianzishwa Mwaka 1963..
Ikiwa Inaitwa Dar es salaam Health College ikiwa Chini ya Princess Margaret Hospital ambayo sasa Hivi ndo inatambulika Kama Hospitali ya Muhimbili Back then kabla ya Hapo ilifahamika kama Dar es salam Genereal Hospital kabla ya Princess margaret hajajichagulia Jina..

Imeanza Ikiwa na watu 10 Tu tena walkuwa wanasoma Medical Assistant au Uganga..

Na Usisahau Ilianzishwa ili Kutrain licensed non-degree medical practitioners...

Mwaka 1968 wakaamua Waikuze ndo ikawa ni Kitengo cha Tiba Chini ya Chuo kikuu cha Dar es salaam..
Na hapo ndo ikaanza Kutoa Baadhi ya Course huku ikiendela Kutoa Kozi ya Uganga na Sio MD..

Cohot Ya Kwanza ya Mujimbili Ilitoka mwaka 1974 ndo kina Mr. William Clement Mfuko kama Unamfahamu..

Ila Janab Kamaliza MD ujerumani Mwaka 1989
 
Endelea mkuu.
 
UCHAWA wake umepitiliza hadi anakosa utu. Anatetea hadi watekaji? Anatetea uchafuzi wa uchaguzi ulio wazi kabisa? Yeye ni UCHAWA UCHAWA tu basi, SHAME ON HIM.
 
..Mkurugenzi wa UN-WHO Africa ni mama toka Botswana anaitwa Dr.Matshidiso Moeti.

..Jambo la kwanza tunatakiwa tukausome wasifu / CV ya Dr.Moeti.

..baada ya hapo tutafute Mtanzania mwenye CV au vigezo vinavyofanana, au kumzidi Dr.Moeti.

..mgombea wa Tanzania anapaswa abebwe na CV yake, sio ushawishi wa Tanzania au Raisi wetu.
 
CV ya huyu mama, machapisho yake na vile vya Mohamed Yakub Janabi ni Mlima Kilimanjaro na kichuguu..
Mtanzania ni mtanzania Tu, Mohamed I anashinda mbele ya kamera huku mwandiko na tafiti hafanyi! CCM mnamuharibu huyu cardiologist wa Watu pumbavu zenu
 
Hii endorsement si imewaondoa prematurely watanzania wengine waliokuwa na nia na pengine wana qualifications Bora zaidi?
 
Janabi amefanya kazi Marekani kabla ya kurudishwa nchini enzi za JK ambapo aliwarudisha diasporas wengi wamsaidie baadhi ya sekta. Pia amesoma na kufanya kazi nchi kama Japan na ulaya kwa muda mrefu.

Exposure gani unazungumzia mkuu.
 
Akili za ccm wanazijua wao wenyewe,sasa anafikiri WHO ni Tamisemi!!? Au Wilaya,kenge kabisa, na anampendekeza kwa nani,? USA, UN! Anafikri wazungu wanamsikiliza na kumtilia maanani,kwanza wanamuona kama kilaza tu!
 
Hiyo nafasi sio kama Ile ya Bure uliyoipata!
 
Ndugu-Lile si alipitia hapo Mhim-bili kabla ya kupaishwa kuelekea In-dia?
Dots connected.....cartel at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…