Pre GE2025 Rais Samia ampigia simu Kuhani Mussa na kumuahidi mchango wa Tsh. Milioni 100 ujenzi wa kanisa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu zangu katika imani hii imekaaje ? Au ngoja tuyaache😏
Kanisani anaabudiwa Mwenyezi Mungu....kwetu sisi waislamu TUNAOJITAMBUA tunampongeza mh.Rais wetu kwa kuendelea kuthamini nyumba za Mwenyezi Mungu hapa duniani!
Mwenyezi Mungu ampe afya njema ,uhai mrefu na mafanikio tele mh.Rais Samia Suluhu Hassan aaamin aaamin!
#Nchi Kwanza
 
 
Mwanzo mzuri...



...Ni Hayo Tu!!
 
Hao lao moja kuwaibia na kuwapumbaza wananchi kuwa umaskini unaotengenezwa na mafisadi ni kazi ya Mungu. Si angetoa fedha hiyo kujenga lau kanisa. Je rais anapata wapi hiyo fedha anayomwaga mwanga kila mara?
Rais ni mkuu wa mambo yetu hapa duniani.....

Mwenyezi Mungu ametupa viongozi KUTUHUDUMIA kwa niaba yake hapa duniani.....

Nguvu ni za MUNGU....pesa tumetengeneza kupitia NGUVU hizo.....

Mh.Rais yuko sahihi kuijenga nyumba hii ya Mwenyezi Mungu....
 
Rushwa bin rushwa,
Alafu TRA Kila siku wanatumia message kuomba kodi
 
Hao lao moja kuwaibia na kuwapumbaza wananchi kuwa umaskini unaotengenezwa na mafisadi ni kazi ya Mungu. Si angetoa fedha hiyo kujenga lau kanisa. Je rais anapata wapi hiyo fedha anayomwaga mwanga kila mara?
HAWA WOTE WANAFAHAMIANA! HUYU NA MWAMPOZA WOTE WANATUMIA MIUNGU YA KIGENI AMBAYO MAZA NAYE ANAITUMIKIA. NDIO MAANA HUWEZI MKUTA HUYU AKITOA SADAKA KWA WATU WENYE FIRE YA KRISTO
 
HAWA WOTE WANAFAHAMIANA! HUYU NA MWAMPOZA WOTE WANATUMIA MIUNGU YA KIGENI AMBAYO MAZA NAYE ANAITUMIKIA. NDIO MAANA HUWEZI MKUTA HUYU AKITOA SADAKA KWA WATU WENYE FIRE YA KRISTO
Ndivyo walivyo kwambia?
 
Mwaka wa viongozi wa dini kupiga hela huu
 
Ameshiriki mkesha kimtindo
 
Hiyo ndo kazi anaweza pekee.
 
Sina haki wala mamlaka ya kumpangia matumizi ya hizo pesa zake! Ila ninaomba tu nimshauri wakati mwingine kama ana pesa zisizokuwa na matumizi, basi angezipeleka kwa watu wenye uhitaji kama vile watoto yatima, wazee na wajane, vikundi vya maendeleo vya vijana na akina mama, wananchi wabunifu wa mashine mbalimbali na ambao hawana mitaji ya kuwapeleka mbele, kuboresha miundombinu ya shule, hospitali, nk.

Badala ya kununua magoli ya Yanga na Simba, kufanya matamasha yasiyo na kichwa wala miguu, kuchangia ujenzi wa makanisa na misikiti kwenye karne hii ya 21 ya Sayansi na Teknolojia! kuwagawiwa Wachungaji, Manabii feki na Masheikh, nk.

NB:- Huu ni ushauri wangu tu ndugu zangu. Sijamtukana mtu hapa wala kumkejeli. Na akiufuata huu ushauri wangu, naamini historia itamkumbuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…