Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna rais anayezimaliza changamoto zetu za kila siku....Tapanya hela wakati wajawazito wanakufa kukosa 150,000 hospitali za serilaki, shule kama hiyo hapa pichani
View attachment 3189705
Kanisani anaabudiwa Mwenyezi Mungu....kwetu sisi waislamu TUNAOJITAMBUA tunampongeza mh.Rais wetu kwa kuendelea kuthamini nyumba za Mwenyezi Mungu hapa duniani!Ndugu zangu katika imani hii imekaaje ? Au ngoja tuyaache😏
Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa vimbwanga na vituko kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.
View attachment 3189696Ama Abdul ameamua rushwa iwe Niko vipi?
Mwanzo mzuri...Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa vimbwanga na vituko kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.
View attachment 3189696
Rais ni mkuu wa mambo yetu hapa duniani.....Hao lao moja kuwaibia na kuwapumbaza wananchi kuwa umaskini unaotengenezwa na mafisadi ni kazi ya Mungu. Si angetoa fedha hiyo kujenga lau kanisa. Je rais anapata wapi hiyo fedha anayomwaga mwanga kila mara?
Dini ni faida yetu wote wanadamu..Mtaji wa wanasiasa ni pamoja na dini
Imekaa powah sana, maana hata wale waumini pale kwa kuhani Musa ni Watanzania na walipa kodiNdugu zangu katika imani hii imekaaje ? Au ngoja tuyaache😏
Umemaliza....Imekaa powah sana, maana hata wale waumini pale kwa kuhani Musa ni Watanzania na walipa kodi
HAWA WOTE WANAFAHAMIANA! HUYU NA MWAMPOZA WOTE WANATUMIA MIUNGU YA KIGENI AMBAYO MAZA NAYE ANAITUMIKIA. NDIO MAANA HUWEZI MKUTA HUYU AKITOA SADAKA KWA WATU WENYE FIRE YA KRISTOHao lao moja kuwaibia na kuwapumbaza wananchi kuwa umaskini unaotengenezwa na mafisadi ni kazi ya Mungu. Si angetoa fedha hiyo kujenga lau kanisa. Je rais anapata wapi hiyo fedha anayomwaga mwanga kila mara?
Ndivyo walivyo kwambia?HAWA WOTE WANAFAHAMIANA! HUYU NA MWAMPOZA WOTE WANATUMIA MIUNGU YA KIGENI AMBAYO MAZA NAYE ANAITUMIKIA. NDIO MAANA HUWEZI MKUTA HUYU AKITOA SADAKA KWA WATU WENYE FIRE YA KRISTO
Ameshiriki mkesha kimtindoWakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa vimbwanga na vituko kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.
View attachment 3189696
Hiyo ndo kazi anaweza pekee.Wakuu,

Sina haki wala mamlaka ya kumpangia matumizi ya hizo pesa zake! Ila ninaomba tu nimshauri wakati mwingine kama ana pesa zisizokuwa na matumizi, basi angezipeleka kwa watu wenye uhitaji kama vile watoto yatima, wazee na wajane, vikundi vya maendeleo vya vijana na akina mama, wananchi wabunifu wa mashine mbalimbali na ambao hawana mitaji ya kuwapeleka mbele, kuboresha miundombinu ya shule, hospitali, nk.Wakuu,
Hii kiboko, tumeanza mwakampya na Rushwa mujarab kabisaa!
Hao kumbikumbi wanavyoshangilia sasa🤦!
=====
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzani Samia Suluhu Hassan, usiku huu wakati wa ibada ya mkesha ya kuusubiri mwaka mpya wa 2025 katika kanisa la ngome ya Yesu linaloongozwa na mchungaji kiongozi Kuhani Musa amepiga simu na kuongea na mchungaji pamoja na waumini wa Kanisa hilo huku akiwatakia heri ya mwaka mpya 2025.
Kwa vimbwanga na vituko kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025 ruka hapa: Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
Aidha Rais Samia ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mia moja katika ujenzi wa kanisa hilo unaoendelea.
View attachment 3189696
Mitano tenaMama hatoshi