Abrianna
JF-Expert Member
- Mar 30, 2021
- 4,696
- 15,390
Hivi huyu Sabaya ndo alikua anahara juzi pale Clouds?Hii inastahili kabisa kuitwa zawadi ya Idd kwa watanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huyu Sabaya ndo alikua anahara juzi pale Clouds?Hii inastahili kabisa kuitwa zawadi ya Idd kwa watanzania
Mbona huko clouds alisema ana miaka 35 na hapa kwenye CV kazaliwa 1980Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Yajayo yanafurahisha, yetu machoRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimtumbue nisimtumbue ...tumbuaaaaaa.....kuanzzia reoooo wewe sio Mkurrugenzi![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Amemtesa sana Mbowe na chadema kwa ujumla.Kila lenye mwanzo halikosi mwisho
Kasimamishwa kazi kupisha uchunguzi kama hana hatia siatarudishwa kwenyekiti chake? Nchi hii ni yetu wote hakuna mwenye uhuru wa kufanya atakalo. Haki itendeke.Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Na ile ya Biswalo kutolewa kuwa DPP na kupelekwa kwenye korido za mahakama!!!Mnahamishwa kwenye issue ya bandari.
Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854
-Bachelor of Business Administration in International Business.
-Master of Leadership and Management.
Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Arusha watu watapumua na kile kikosi chake alichokuwa anazunguka nacho kila kona kitafutwe
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
Hapo ndipo inapothibitisha pasipo shaka kwamba JPM na SSH hawakuwa kitu kimoja kwa vyovyote vile. There was a cold wrangle inside the muscular powers until the whole team is disrupted with frustrations subsequently screwing up each other. Wakianza kushughulikiana kwa mtindo huu upinzani mshindwe ninyi kupoka nafasi hiyo kurejea kwenye anga la kuogelea kama kawa.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Ndio atamuelewa Mbowe ni nani? Hahahaha Mbowe ni Mtoto wa mjini
Mama Samia amuamua kufuata sheria.Huyu alipaswa kuchukuliwa hatua muda mrefu, anyway its never too late.
Sidhani kama kuna haja ya kufanya uchunguzi kwani ushahidi wa maovu yake upo wazi kabisa. Ahukumiwe tu
AMENHii inastahili kabisa kuitwa zawadi ya Idd kwa watanzania