Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Sio Huyu Tu Mama Samia Hawa watu walioumiza Watu sana wako Wengi na bado wana nafasi nyeti..Tafadhali wapige hawa watu kwasababu ni watesi waongo na wazushi Wakubwa...
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo

Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

#NA SASA KAZI IMEANZA#

TAARIFA ZA ELIMU YAKE

SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

Safi sana sasa tunakutana kimtaa mtaa tuone nani ni mbabe wa kweli,lazma tumnyonyoe vinyoleo
 
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021

Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
View attachment 1783582

Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai

CHAMA: CCM

#NA SASA KAZI IMEANZA#

TAARIFA ZA ELIMU YAKE

SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

View attachment 1783581
Jamani hivi yule wa Mbeya na yule wa Iringa wapo kweli !!!???

Maana tangu "MWANAKWENDA ZAKE na AENDE" alipoondoka kama siwasikii tena naona wana act low profile sana

... au ilikua nguvu ya Azam Cola gesi imeisha na wao chali pressure zinapanda na kushuka

Ama kweli kila zama na Nabii wake !!!
 
Kumekuwa na malalamiko mengi kuhusu utendaji wake hata clip za wafanyabiashara mfano mmiliki wa Weruweru lodge alitamka hadharani kuhusu kulazimishwa kutoa fedha.Lema alisema sana kuhusu tuhuma mbalimbali.Tuache mkondo wa sheria na haki tuone hatma yake.Ila kikubwa " guilty until proven innocent"
 
Woyooooo huyo ndo SASHA mama la mama[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120]
I love u SAMIA
Kweli ni mama la mama [emoji91][emoji91][emoji91]
2.5718224285009833E18.jpg
 
Watu walionya sana kuhusu vitendo vya hawa wateule.
Tulijua kuwa utetezi waliokuwa wanaupata ni wa muda tu, maana vyovyote iwavyo waliapa kuilinda katiba ya Tanzania.
Acha tuone mwisho wake
 
Back
Top Bottom