Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Kuna picha mama anapangua engine ya hayati nadhani ile katuni sasa inatimia aisee.

Sema kuna watu kipindi cha mwendazake walijisahau sana. Full kutumia mabavu na mitutu kiko waapi..

Huyu sabaya si ndo alikua clouds juzi kati hapa 🤔🤔
 
Mbona huko clouds alisema ana miaka 35 na hapa kwenye CV kazaliwa 1980
 
Yajayo yanafurahisha, yetu macho
 
Peleka unafiki wenu huko kwenye vikao vyenu vya Lumumba!

Na bado mtatifuana sana! Kufuru mliyofanya mwaka jana October itahusika na kila aliyetenda uovu na kuwapora watanzania haki yao ya kufanya mabadiliko
 
Kasimamishwa kazi kupisha uchunguzi kama hana hatia siatarudishwa kwenyekiti chake? Nchi hii ni yetu wote hakuna mwenye uhuru wa kufanya atakalo. Haki itendeke.
 
Hapo ndipo inapothibitisha pasipo shaka kwamba JPM na SSH hawakuwa kitu kimoja kwa vyovyote vile. There was a cold wrangle inside the muscular powers until the whole team is disrupted with frustrations subsequently screwing up each other. Wakianza kushughulikiana kwa mtindo huu upinzani mshindwe ninyi kupoka nafasi hiyo kurejea kwenye anga la kuogelea kama kawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…