Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
🤣🤣🤣🤣🤣 huyo msiba umemuathiri mno mno hajakaa sawa kama yehodayaMzee wa kusifia kila kitu.yaani ubongo wako umesitiwa CCM ikiclik hujiulizi mara 2 unaporomosha misifa tuu. Ukachunguzwe ubongo wewe si bure.
Kinachoendelea ndiyo hicho ulichokisikia, kasimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili.But why?... kuna nini kinaendelea?
Safi sana sasa tunakutana kimtaa mtaa tuone nani ni mbabe wa kweli,lazma tumnyonyoe vinyoleoRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
Sina habari ndugu yangu in that case he is an asshole.Unaishi wapi huyafahamu hayo? Hata alipohojiwa na clouds TV alikiri na kusema ni wananchi wa Hai ndio wamefanya hayo lakini ukweli ni yeye 100%
Kitambi cha serikali kile, huvyo lazima akiache serikali[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Eti 'kumkondesha kwanza'.
Jamaa atakua amebaki mifupa tu huko nw .dahNazungumzia Uzi mpendwa! Hahahaha 7yya kwishiney
Jamani hivi yule wa Mbeya na yule wa Iringa wapo kweli !!!???Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Kweli ni mama la mama [emoji91][emoji91][emoji91]Woyooooo huyo ndo SASHA mama la mama[emoji123][emoji123][emoji123][emoji120][emoji120]
I love u SAMIA
Ndio huyo, Mama alishasema atafyeka wapandisha mabega yeye hakusikiaHivi huyu Sabaya ndo alikua anahara juzi pale Clouds?
Kwa hakika nmefurahi sana..Hii inastahili kabisa kuitwa zawadi ya Idd kwa watanzania
Muuaji Jiwe ndiye unamsifia, si ajabu wewe hapo ndiye Sabaya unajitetea. Angalia uzi unavyokimbia, posts zaid ya 300 kwa less than an hour! Hii ni ishara kuwa huyu mtu watu wana sababu naye!anafuata njia ya kimapinduzi ya jpm