Papushikashi
JF-Expert Member
- Feb 28, 2016
- 10,963
- 13,287
Mkuu haya maneno au tuhuma dhidi ya Sabaya umeanza kuzitoa tokea lini ?Sabaya atafungwa maisha, i knew this will come, sasa imefikia, muda si mrefu atakutwa na tuhuma kubwa kubwa na kufungwa muda mrefu huyu kijana amekuwa mpuuzi kabisa..
Mh. Rais Samia safiiii kabisa kabisa, umesikia kilio cha watanzania
Clouds TV je?Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Timu ya Uchunguzi ikifika Hai, itaujua ukweli hakuna mtu Asiyejua Uovu wa Bwana Yule. Hata mtoto wa Darasa la nne! Anajua.Huyu alikuwa wa kumfukuza kazi kisha kukusanya udhahidi dhidi ya maovu yake mbali mbali ya kupora watu, kuwadhalilisha kwa namna mbali mbaliu, kuwalawiti na kuwajeruhi nadhani pia kuna tuhuma za mauaji dhidi ya huyo dhalimu.
Mama kila akipost Twitter 80/% replies zilikuwa zinamsisitiza amwondoe Sabaya anawatesa na wakitaja uonevu mbalimbali,mama ni rahisi Sana kupata habariGenge la chato akili zenu bana
Kwa hiyo unasema rais hana vyanzo vya habari kuyajua majambazi?
Du huyu masai alikuwa analawiti watu!
Twitter anajiita @PowerSabaya hahahaaa pawa kawa unyoyaSabaya na ID yako misasa , Eid Mubarak shekhe πππ
Huyu tutafrahi wengiSafi mama bado na yule RC wa Mbeya
kikombe kinamstahili, usije kuta hawa ndio waliowateka kina roma na mo na kuwavisha kangaKuna jamaa mmoja anadai walimlawiti na kisha kumvunja miguu.
Kweli achunguzwe, ametumia gari la serikali toka Hai mpaka Dar, amemlipa posho dereva, mafuta, depreciation, posho yake mwenyewe, muda wa hewani studio, kwaajili ya kwenda kuongea pumbaRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Hahahaaaa....... Nipo bwashee!Jamani johnthebaptist sikuoni kwenye uzi huu, uko wapi? au wewe ndiye Sabayaππππππ
Yule ni mental caseHuyu tutafrahi wengi