Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Hapa tunaweza kusema wanakulitafuta wanakulipata,tena linalowastahili hasaa.Mama ni Mama.Asante Mama Samia kwa zawadi ya idi
Piga kelele kwa mama yakeeeeeee....Heheheh safi mama Samia
Basi iwe kherHapa tunaweza kusema wanakulitafuta wanakulipata,tena linalowastahili hasaa.Mama ni Mama.
Uyo kashapigwa chini mkuu,,Sabaya ni jambazi hakuna asiyemjua,Kasimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Akichunguzwa akakutwa hana hatia basi atarejeshwa kazini, hajafukuzwa wala uteuzi wake kutenguliwa bali kasimamishwa.
Mitandaoni kuna taarifa muhimu sana ambazo si za kupuuzwa hata kidogo. Acha zifanyiwe kazi, kama hazina ukweli basi haki itatendeka.
Kimbunga Jobo kimepita na aliyekwamia awamu iliyotangulia.Basi iwe kher
Amka. Utakojoa kitandaniSabaya atachomoka tu
Kwahiyo alitakiwa asitangaze uteuzi/utenguzi wowote ule mpaka hatma ya tukio la yanga na simba ijulikane? Aisee Rais ana kazii nchi hii.Kazima tayari tukio la mechi ya Yanga na Simba kuhairishwa watanganyika bwana kha!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kimbunga Jobo kimepita na aliyekwamia awamu iliyotangulia.
Kenge aliyekuzaa. mbw.a wwNyie Rais wenu kashapotea mavumbini,,k.enge nyinyi