Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Amulike Tanga jiji maana mkurugenzi nae anatumia ofisi vibaya. Ummy anamlea huyu rafiki take. RC na DC hawana hata uwezo wa kumhoji mkurugenzi Hugo Mh. Rais saidia kuondoa mnynyasaji,mvunja maadili,mbadhirifu na mtoa rushwa.
 
Kasimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Akichunguzwa akakutwa hana hatia basi atarejeshwa kazini, hajafukuzwa wala uteuzi wake kutenguliwa bali kasimamishwa.

Mitandaoni kuna taarifa muhimu sana ambazo si za kupuuzwa hata kidogo. Acha zifanyiwe kazi, kama hazina ukweli basi haki itatendeka.
Uyo kashapigwa chini mkuu,,Sabaya ni jambazi hakuna asiyemjua,
 
Tunaelekea kwenye Covid19 kule Mjengoni BAWACHA wameliamsha Dude
icon_lol.gif
 
Kazima tayari tukio la mechi ya Yanga na Simba kuhairishwa watanganyika bwana kha!!
Kwahiyo alitakiwa asitangaze uteuzi/utenguzi wowote ule mpaka hatma ya tukio la yanga na simba ijulikane? Aisee Rais ana kazii nchi hii.
 
Pole sana Sabaya. Mawimbi ni sehemu ya tabia nchi baharini! Kama ulitenda uovu unajua na nafsi yako lakini wajibu wangu ni kukuombea [emoji120]
 
Aaaah aah wanazi wa CHADEMA watafurahi sana!

Lakini kazi aliyofanya kwa wananchi wa kawaida ni ya kutukuka!pamoja na uwezekano wa kuteleza hapa na pale!

Bravo Sabaya!,

Mengine yanatazamika, yanatafsirika, yanajadilika, na yanasubirika. Muda utatoa maana Pana ya yanayotukia sasa.
 
Back
Top Bottom