Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Huyu Ole Sabaya habari zake ni muda sasa amekuwa akilalamikiwa.
Lakini mamlaka ya uteuzi huko nyuma walikuwa wanamuangalia tu.
Walioingia sasa hawataki unafiki, ni mwendo wa tengua tu.
 
Umejuaje Kama anaaikiliza followers wake
 
Mama kamstahi Sana, huyu alipaswa kufukuzwa kazi Mara moja...
Yupo kwenye nafasi mbaya zaidi. Kufukuzwa moja kwa moja ni huruma. Huo uchunguzi unaweza hata kupendekeza afunguliwe criminal charges hence facing the possibility of jail time
 
UNEB Senior Six not UNED ( Uganda National Education Board) Form Six=Senior Six. Shule Bora kabisa Uganda Chini yaAdventist Church.
 
Natamani Sabaya aje kwenye uzi huu aone unavyokimbia atajua kuwa watu wanafahamu fika atrocities alizowafanyia watanzania, they are very much concerned with what he did and that is why this thread is building up very very fast!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…