Standards Person
JF-Expert Member
- Apr 22, 2021
- 672
- 860
Waliowengi wamefuturu vizuri. Sabaya Mungu azidi kukushuhulikiaKimbunga Jobo kimepita na aliyekwamia awamu iliyotangulia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waliowengi wamefuturu vizuri. Sabaya Mungu azidi kukushuhulikiaKimbunga Jobo kimepita na aliyekwamia awamu iliyotangulia.
Kwamba atarudi?Amepisha uchunguzi
Duh kumbeeeeSabaya alitumwa jimbo la Hai na Magufuli kwenda kulawiti wananchi kisa ni jimbo la upinzani.Magufuli was a hopeless sinner who died for a good reason!
WeuweeeeeeeeePiga kelele kwa mama yakeeeeeee....
Hasa kale kamama kenye sauti ya 'kishambenga'.Kwahiyo tuseme Clouds tv wamekula hela ya bure...
Umejuaje Kama anaaikiliza followers wakeHuyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Yupo kwenye nafasi mbaya zaidi. Kufukuzwa moja kwa moja ni huruma. Huo uchunguzi unaweza hata kupendekeza afunguliwe criminal charges hence facing the possibility of jail timeMama kamstahi Sana, huyu alipaswa kufukuzwa kazi Mara moja...
UNEB Senior Six not UNED ( Uganda National Education Board) Form Six=Senior Six. Shule Bora kabisa Uganda Chini yaAdventist Church.Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...www.jamiiforums.com
Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...www.jamiiforums.com
Uchaguzi 2020 - Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...www.jamiiforums.com
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
WeweeeeeeeeeePiga kelele kwa mama yakeeeeeee....
Kupisha uchunguzi dhidi yake.Bakizeni akiba ya maneno.
AMESIMAMISHWA KAZI
Yaani...yaaani....yaani...ametupa zawadi ya eid....kinukishe mkuu....enjoy to the fullest...Leo napiga pombe kwa furaha hadi asubui, ngojea nimualike jirani yangu Wangari Maathai