Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

1. Umejuaje kama hajachunguza?
2. Kwani kelele zameanza leo?
3. Ni yeye peke yake aliyepigiwa kelele?
4. Kama wamepigiwa kelele wengi mbona hawaondolewi wengi kwakuwa anasikiliza porojo za mtandaoni?
Pole sana. Na mtakoma.
 
Haya majizi, mauaji yatakoma
 
Pole
 
Sabaya alitumwa jimbo la Hai na Magufuli kwenda kulawiti wananchi kisa ni jimbo la upinzani.Magufuli was a hopeless sinner who died for a good reason!
Kwahiyo Mungu aipumzishe wapi roho yake?
 
Nikushauri kitu, kunywa sumu uende umshitaki Mama kwa Jiwe
 
Mama anademka na nyumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
nao haoooooo.

eid mubarak nyumbuuuzi.

wekeni huu uzi,mtakuja kunishukuru mbeleni huko.
Mbona kinyonge sana mkuu?

Pole sana, Hii ni awamu ya 6. Zile mambo za sabaya mlizokuwa mnazishabikia wakati wake umeshapita, hii ni awamu nyingine, ni wakati wenu Mataga kuvumilia sindano.
 
Haya nenda kalambe viatu vyake Sasa mliozoea kulamba viatu vya mwenda zake. Nani asiyejua maovu ya huyo mtu. Mama anahabari za kutosha kutokana na system aliyonayo na sidhani kama kaonewa au anasikiliza habari za mtandao.
 
Mbona kinyonge sana mkuu?

Pole sana, Hii ni awamu ya 6. Zile mambo za sabaya mlizokuwa mnazishabikia wakati wake umeshapita, hii ni awamu nyingine, ni wakati wenu Mataga kuvumilia sindano.
nisaidie kuhufadhi hii coment yangu.utakuha kuelewa mbeleni huko kwa sasa demka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…