Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,778
- 4,859
Kuna watu tunajua na kuzijua nyendo za huyu tapeli kama matobo ya suruali ya kupitishia mkanda yaaniWatu wanapenda credentials zisizo zao bana [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu tunajua na kuzijua nyendo za huyu tapeli kama matobo ya suruali ya kupitishia mkanda yaaniWatu wanapenda credentials zisizo zao bana [emoji1]
Kaa kwa kutulia mkuu! It is slowly but surely, Mama hawezi akashughulikia maswala yote kwa siku moja lakini lazima Hii nchi inyooke! Sukuma gang yote outt, Miungu-watu wote lazima wawajibishweSabaya amesimamishwa kazi sababu ya tuhuma. Na wanaofurahia kusimamishwa kwake kazi ni wanachama wa CHADEMA. Watu wenye upeo wa kufikiri tunajiuliza maswali mengi na machache kati ya hayo ni haya :
1- tuhuma zinazomkabili Sabaya sio za leo wala jana, ni tuhuma za kuanzia mwaka jana kurudi nyuma. Sasa je, wakati Sabaya anatuhumiwa, huyu Madam SSH yeye hakuwa Makamu wa Rais? Alichukua hatua zipi dhidi ya Sabaya kwa nafasi aliyokuwa nayo?
2- Madam SSH akisema kipindi hicho hakuwa na sauti, Je, sasa hivi akiwa kama Rais yuko tayari kuchukua hatua dhidi ya kila tuhuma zilizokuwa zikielekezwa kwa viongozi au Serikali anayoiongoza sasa hivi?
Hata chama chake CCM kinatuhumiwa sana kwa udanganyifu na wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Je, Madam SSH yuko tayari kufanyia kazi hizo tuhuma kwa kuruhusu uchunguzi huru dhidi ya chama chake na ikiwa itathibitika kuwa kweli waliiba kura, Je, atakuwa tayari kujiuzulu na kupisha uchaguzi mwingine ufanyike?
3- Spika wa Bunge, Job Ndugai anatuhumiwa sana kuisigina katiba ya nchi, Je, Madam SSH yuko tayari kulivunja Bunge na kuitisha uchaguzi mwingine maana mamlaka hayo anayo.
4- Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatuhumiwa kudhulumu haki za kuishi za baadhi ya watu, Je, Madam SSH yupo tayari kupisha uchunguzi huru dhidi ya Makonda?
5- Usalama wa Taifa wanatuhumiwa kuhusika na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu, Je, Madam SSH yupo tayari kuruhu FBI wafanye uchunguzi wao kama walivyotaka kufanya baada ya tukio na kuzuiliwa?
Ikiwa Madam anasikiliza tuhuma za mitandaoni, Je, sio sahihi kwa yeye kusikiliza na kuchukua maamuzi dhidi ya tuhuma hizo nilizoziainisha hapo juu??
Na hapo sijataja tuhuma za utekaji watu, kupotea kwa baadhi ya watu kama Azory n.k.
Au Watanzania mnapenda sana kushabikia vitu pasipo kufikiri kwa kina? Hamjui kwamba wanasiasa wote wamejaa unafiki?
Madam SSH yeye siyo MALAIKA, yeye ni Mwanadamu tena mwanasiasa. Hana tofauti na aina za wanasiasa tuwajuao.
Sam , Kija na Simalenga inabidi tu irudishwe hela aliyowapa Sabaya na Sam ni wakulaumiwa kwani ndiye aliyemshawishi Sabaya afanye interviewRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
Mbowe: Ole Sabaya akiwa na gari lenye namba UN na silaha za moto aliongoza genge la wahalifu kwa lengo la kunidhuru na kuniua
DC wa Hai Ole Sabaya akiwa na gari yenye namba @UN na silaha nzito za moto ameongoza genge la wahalifu kuvamia Hotel ya Kitalii ya Aishi, Machame kwa lengo la kunidhuru na kuniua. Wameteka, kutesa na kuumiza walinzi wawili wa hotel. Wamepora silaha yao na kuwatekeleza Arusha Rd. Pia soma...www.jamiiforums.com
Ole Sabaya ukipona hii panguapangua, chinja kondoo
Huu ni ushauri wa bure kabisa nakupa mdogo wangu Mkuu wa Wilaya ya Hai Bwana Lengai Ole Sabaya. Ukibahatika kuendelea kuwa Mkuu wa hiyo Wilaya ya Hai katika hii pangua pangua inayokuja tafuta kondoo mweupe mchinje waite Masheikh hapo Bomang'ombe wakufanyie dua! Na usirudie tena kutumia mamlaka...www.jamiiforums.com
Uchaguzi 2020 - Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro
Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...www.jamiiforums.com
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
Umeona hakurupukiAisee, Rais Samia nimeanza kumuelewa na kumuamini.
Njia za mwongo ni fupiKuna watu tunajua na kuzijua nyendo za huyu tapeli kama matobo ya suruali ya kupitishia mkanda yaani
Hahahaha... Unachonifurahisha tu ni jinsi ambavyo sasa hivi umechukua nafasi ya Bavicha kuwa mpinzani wa Serikali ya CCM.nisaidie kuhufadhi hii coment yangu.utakuha kuelewa mbeleni huko kwa sasa demka.
Usiwe na papara Mama amampenda kila Mtoto,aliyekosea atamwelekeza kadiri ya malezi ya Mama.Tuacheni siasa za kinafiki ambazo hazina tija kwenye jamii yetu. Kama mkuu wa nchi ambae unatakiwa kuleta ustawi wa jamii yetu unatakiwa usafishe kila kiongozi asiyefaa ili ulete ustawi wa jamii
Ok tuelezane ukweli bila kupepesa macho ni Sabaya pekee ambaye hafai?
Mbona wengi tu ambao hawafai. Ambao kama mkuu wa nchi unatakiwa uwaondoe mara moja.
Mfano, ondoa mkuu wa mkoa wa Mwanza huyu hafai kabisa maana ni ni kama doli tu. Na kibaraka wa kutetea uvunjifu wa haki za binadamu. Mkuu wa mkoa wa Mbeya ondoa kabisa maana hafai na wala maelezo hayahitajiki.
Mmebadilishana wewe umechukua nafasi ya uvccmHahahaha... Unachonifurahisha tu ni jinsi ambavyo sasa hivi umechukua nafasi ya Bavicha kuwa mpinzani wa Serikali ya CCM.
Tuacheni siasa za kinafiki ambazo hazina tija kwenye jamii yetu. Kama mkuu wa nchi ambae unatakiwa kuleta ustawi wa jamii yetu unatakiwa usafishe kila kiongozi asiyefaa ili ulete ustawi wa jamii
Ok tuelezane ukweli bila kupepesa macho ni Sabaya pekee ambaye hafai?
Mbona wengi tu ambao hawafai. Ambao kama mkuu wa nchi unatakiwa uwaondoe mara moja.
Mfano, ondoa mkuu wa mkoa wa Mwanza huyu hafai kabisa maana ni ni kama doli tu. Na kibaraka wa kutetea uvunjifu wa haki za binadamu. Mkuu wa mkoa wa Mbeya ondoa kabisa maana hafai na wala maelezo hayahitajiki.
Nina wivu mbaya mie...He is good looking though.
Who agrees?
Sabaya amesimamishwa kazi sababu ya tuhuma. Na wanaofurahia kusimamishwa kwake kazi ni wanachama wa CHADEMA. Watu wenye upeo wa kufikiri tunajiuliza maswali mengi na machache kati ya hayo ni haya :
1- tuhuma zinazomkabili Sabaya sio za leo wala jana, ni tuhuma za kuanzia mwaka jana kurudi nyuma. Sasa je, wakati Sabaya anatuhumiwa, huyu Madam SSH yeye hakuwa Makamu wa Rais? Alichukua hatua zipi dhidi ya Sabaya kwa nafasi aliyokuwa nayo?
2- Madam SSH akisema kipindi hicho hakuwa na sauti, Je, sasa hivi akiwa kama Rais yuko tayari kuchukua hatua dhidi ya kila tuhuma zilizokuwa zikielekezwa kwa viongozi au Serikali anayoiongoza sasa hivi?
Hata chama chake CCM kinatuhumiwa sana kwa udanganyifu na wizi wa kura kwenye uchaguzi mkuu uliopita, Je, Madam SSH yuko tayari kufanyia kazi hizo tuhuma kwa kuruhusu uchunguzi huru dhidi ya chama chake na ikiwa itathibitika kuwa kweli waliiba kura, Je, atakuwa tayari kujiuzulu na kupisha uchaguzi mwingine ufanyike?
3- Spika wa Bunge, Job Ndugai anatuhumiwa sana kuisigina katiba ya nchi, Je, Madam SSH yuko tayari kulivunja Bunge na kuitisha uchaguzi mwingine maana mamlaka hayo anayo.
4- Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda anatuhumiwa kudhulumu haki za kuishi za baadhi ya watu, Je, Madam SSH yupo tayari kupisha uchunguzi huru dhidi ya Makonda?
5- Usalama wa Taifa wanatuhumiwa kuhusika na tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu, Je, Madam SSH yupo tayari kuruhu FBI wafanye uchunguzi wao kama walivyotaka kufanya baada ya tukio na kuzuiliwa?
Ikiwa Madam anasikiliza tuhuma za mitandaoni, Je, sio sahihi kwa yeye kusikiliza na kuchukua maamuzi dhidi ya tuhuma hizo nilizoziainisha hapo juu??
Na hapo sijataja tuhuma za utekaji watu, kupotea kwa baadhi ya watu kama Azory n.k.
Au Watanzania mnapenda sana kushabikia vitu pasipo kufikiri kwa kina? Hamjui kwamba wanasiasa wote wamejaa unafiki?
Madam SSH yeye siyo MALAIKA, yeye ni Mwanadamu tena mwanasiasa. Hana tofauti na aina za wanasiasa tuwajuao.
Anamaanisha University of Massachusetts, kakosea kuandika.MASACHUSETS UNIVERSITY ndiyo ipi hiyo?
MATAGA hapa hautawaonaMzee Mgaya anasema unaposikia kiongozi fulani amesimamishwa kazi na Rais wa JMT basi elewa tuhuma hizo zimeshafanyiwa kazi na kinachoendelea ni taratibu za kisheria tu.
Rais ni taasisi, hivyo ana uwezo wa kupata taarifa zote anazozihitaji kwa wakati muafaka, anasema Mgaya.
Kuongea na vyombo vya habari wakati Takukuru wanakusubiri kwa mahojiano nayo ni aina fulani ya dharau na kiburi, anatoa angalizo mzee Mgaya.
Eid Mubarak!
SijakusomaDotto
Kakurwa
DPP
Polepole