50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,088
- 4,059
Mama anafungua nchi.Ndani ya muda mfupi tu huu uzi umeshafika comment ya 494 na page 25? Hii ni ishara kwamba mama Samoa ametupa zawadi mjarabu ya Eid.
Kazi Iendelee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama anafungua nchi.Ndani ya muda mfupi tu huu uzi umeshafika comment ya 494 na page 25? Hii ni ishara kwamba mama Samoa ametupa zawadi mjarabu ya Eid.
Doh! jamaa alikuwa machafu sanaKuna jamaa mmoja anadai walimlawiti na kisha kumvunja miguu.
Ilo Son of Gamba ni msukule wa magufuliGenge la chato akili zenu bana
Kwa hiyo unasema rais hana vyanzo vya habari kuyajua majambazi?
Watu wa ajabu ajabu kama hawa sijui alikuwa anawaokota wapi?Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
Hayati John Pombe Magufuli tarehe 28 Julai, 2018 alimteua Sabaya kuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai
kulawiti wanaume wenzake jau sana ushahidi ukamilike aende na yeye kuliwa jichoKuna majitu huku yanafurahia kutumbuliwa kwa huyu jamaa lakini ukiwauliza kawakosea nini, hawana cha kujibu.
Ahaaa, hakuna haja ya kusubiri.Step by Step Mmoja mmoja Mama ndivyo amavyowafuturu
Mama anatatua matatizo ya pande zote mbili sasa upinzani unanafasi gani? Common sense.Hapo ndipo inapothibitisha pasipo shaka kwamba JPM na SSH hawakuwa kitu kimoja kwa vyovyote vile. There was a cold wrangle inside the muscular powers until the whole team is disrupted with frustrations subsequently screwing up each other. Wakianza kushughulikiana kwa mtindo huu upinzani mshindwe ninyi kupoka nafasi hiyo kurejea kwenye anga la kuogelea kama kawa.
Best leo umevurugwaaaa kama mimi ujue🤣Ilo Son of Gamba ni msukule wa magufuli