mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 42,209
- 51,004
Tuombe uzima
Kupisha uchunguzi dhidi yake.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupisha uchunguzi dhidi yake.
1. Umejuaje kama hajachunguza?Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Insh'Allah.Tuombe uzima
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weuweeeeeeeee
Hapo sio Mungu... Hapo katenda mama...Ameliwa kichwa huyo. Mungu ametenda
Haya majizi, mauaji yatakoma1. Umejuaje kama hajachunguza?
2. Kwani kelele zameanza leo?
3. Ni yeye peke yake aliyepigiwa kelele?
4. Kama wamepigiwa kelele wengi mbona hawaondolewi wengi kwakuwa anasikiliza porojo za mtandaoni?
Pole sana. Na mtakoma.
PoleHuyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Kwahiyo Mungu aipumzishe wapi roho yake?Sabaya alitumwa jimbo la Hai na Magufuli kwenda kulawiti wananchi kisa ni jimbo la upinzani.Magufuli was a hopeless sinner who died for a good reason!
Nikushauri kitu, kunywa sumu uende umshitaki Mama kwa JiweHuyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Hell!Kwahiyo Mungu aipumzishe wapi roho yake?
Mbona kinyonge sana mkuu?Mama anademka na nyumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
nao haoooooo.
eid mubarak nyumbuuuzi.
wekeni huu uzi,mtakuja kunishukuru mbeleni huko.
Na watu wote waseme EIMEEEENHell!
Sabaya ni wakunyongwa kabisaWe Sabaya kuwa na heshima na Mama wewe,tumeshakujua,ukiendelea na dharau zako utatupwa ndani
Haya nenda kalambe viatu vyake Sasa mliozoea kulamba viatu vya mwenda zake. Nani asiyejua maovu ya huyo mtu. Mama anahabari za kutosha kutokana na system aliyonayo na sidhani kama kaonewa au anasikiliza habari za mtandao.Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
nisaidie kuhufadhi hii coment yangu.utakuha kuelewa mbeleni huko kwa sasa demka.Mbona kinyonge sana mkuu?
Pole sana, Hii ni awamu ya 6. Zile mambo za sabaya mlizokuwa mnazishabikia wakati wake umeshapita, hii ni awamu nyingine, ni wakati wenu Mataga kuvumilia sindano.
Masalia.Hawa ndio vijana wachapa kazi wa shujaa ?