Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Kwani Katiba inasemaje kuhusiana na Nafasi ya Supika wa Bunge la Jamhuri la Tanzania?
Sababu za kukoma kuendelea na Nafasi hiyo?
 
Khaaaa....
Uzi gani unaukimbiza huukuti,
Nimeanza kusoma comments, kasi ikawa kubwa nikawa nasoma juu juu, nako bado nikahamia kusoma comments zenye likes nyingi, nako hola...

Bakini na lisabaya lenu.
 
Bado Muro wa Meru
 
kuna mufungwa mdomo
kufungwa kamba
kufungwa jela
na kufungwa vifungo vya shati.

kufungwa jela haiwezekani.
Ngoja uchunguzi uanze,wako mashahidi wengi ambao wamemrekodi kwwnye cctv akivamia Nyumba za watu ma kuomna Rushwa kwa nguvu.
 
jamani mkuu wa wilaya Hai atoke eneo lake la kazi akafanye hayo kwenye eneo la mwingine Arusha!!!!?? hebu tupeni tuhuma za kweli kama kazi tayari ameshafutwa hakuna haja ya kumchomea kiasi hicho,
 
Naona karama ya uongozi ndani ya huyu mama.

Kura yangu miaka yote huwa ni kwa upinzani ila 2025 mama akigombea nitampa tena mapema sana.

Mwendazake alikuwa bush bogus, mshamba kupindukia na hakustahili kabisa kuwa Rais.

Aliwafanya hawa vijana wafikiri kutesa, kuumiza watu, kudhulumu na majigambo ndio uongozi, huku wakimpamba na sifa kedekede.

Kwa vile alikuwa bush bogus na mfalme Juha akazidi kuwaongezea ulinzi ili waendelee kutesa watu wasiomsfia.

Naamini kifo cha Magufuli ni Salama kwa taifa, hakukuwa na namna mungu kasikia maombia yetu.

Watu wana furaha sana hata kama hawana mia mfukoni, wako huru hawana cha kuhofu, amani tele.

Sabaya byebye hili ndio anguko lako, msalimie makonda.
 
jamani mkuu wa wilaya Hai atoke eneo lake la kazi akafanye hayo kwenye eneo la mwingine Arusha!!!!?? hebu tupeni tuhuma za kweli kama kazi tayari ameshafutwa hakuna haja ya kumchomea kiasi hicho,
Kwa Serikali ya dikteta bwana yule... hakuna lisilowezekana kwa team Mataga...
 
Ukiwa kiongozi mwenye maono muite na muulize tatizo ni nini? Baada ya hapo tafuta mbinu ya kusikiliza upande unaolalamika baada ya hapo fanya maamuzi, tofauti na hivyo huu ni mwendelezo wa Rais anae sikiliza maoni ya watu pasipo kujiridhisha.
Una uhakika gani hajamwita kumsikiliza?

Au wew ndioo sabaya mwenyewe?
 
Safi kabisa mama SASH
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…