Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 86,410
- 169,862
[emoji121]He is good looking though.
Who agrees?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji121]He is good looking though.
Who agrees?
Unaweza kuweka na ushahidi jinsi hao viongozi wasivyofaa ili uwasaidie wafanya maamuzi wa taifa (Rais Mama Samia Hassan)?Mfano, ondoa mkuu wa mkoa wa Mwanza huyu hafai kabisa maana ni ni kama doli tu. Na kibaraka wa kutetea uvunjifu wa haki za binadamu. Mkuu wa mkoa wa Mbeya ondoa kabisa maana hafai na wala maelezo hayahitajiki.
Vereee.... Anafaa kwa matumiziHe is good looking though.
Who agrees?
Huo ni utabiri,au ni nini, hugo alijuaje kutakuwa na majeruhi, tuthibitishie uyasemayo. Vinginevyo sii habari ya kuaminika.Nimepata mda wa kuteta na mtu wa jikoni jioni ya leo.
Amenijulisha kwamba mechi hiyo iliahirishwa ili Simba wasipate majeruhi kuelekea mechi yao ya Club bingwa Africa.
Huyu mtonyaji amenipasha kuwa, interijesia ilionyesha kwamba endapo tu mechi ingechezwa Simba wangepata majeruhi.
Ni hayo tu.
Binafsi nilishakwambia wewe na sukuma gang wenzako kuwa Sabaya ataondoka na bado wenzenu wanafuataTuacheni siasa za kinafiki ambazo hazina tija kwenye jamii yetu. Kama mkuu wa nchi ambae unatakiwa kuleta ustawi wa jamii yetu unatakiwa usafishe kila kiongozi asiyefaa ili ulete ustawi wa jamii
Ok tuelezane ukweli bila kupepesa macho ni Sabaya pekee ambaye hafai?
Mbona wengi tu ambao hawafai. Ambao kama mkuu wa nchi unatakiwa uwaondoe mara moja.
Mfano, ondoa mkuu wa mkoa wa Mwanza huyu hafai kabisa maana ni ni kama doli tu. Na kibaraka wa kutetea uvunjifu wa haki za binadamu. Mkuu wa mkoa wa Mbeya ondoa kabisa maana hafai na wala maelezo hayahitajiki.
Ondoa wote wasiofaa bila kufuata mbinyo wa kisiasa.
kwani kigogo anasemaje kuhusu bimkubwa na paulo[emoji1787][emoji1787].
Unasema Hujawaji na Hutawahi kuipinga serikali?sijawahi na sitawahi.
chadema sijawahi kuwachukulia kama wapinzani,bali wahuni fulani wenye uwezo wa kuongea.
Kasoma UMass halafu hata spelling za chuo chake hajui?Anamaanisha University of Massachusetts, kakosea kuandika.
Msamehe
Wewe lazima utakuwa Sabaya...Nimepata mda wa kuteta na mtu wa jikoni jioni ya leo.
Amenijulisha kwamba mechi hiyo iliahirishwa ili Simba wasipate majeruhi kuelekea mechi yao ya Club bingwa Africa.
Huyu mtonyaji amenipasha kuwa, interijesia ilionyesha kwamba endapo tu mechi ingechezwa Simba wangepata majeruhi.
Ni hayo tu.
Unadonyoa kwa lipi?
We unaishi hapa Tanzania? Yule dereva aliyefariki Mbeya ulipata taarifa zake? Mwanza kituo cha polisi kirumba unafahamu habari zake? Watu wanauliwa na mkuu wa mkoa anajua sio wahalifu.Unaweza kuweka na ushahidi jinsi hao viongozi wasivyofaa ili uwasaidie wafanya maamuzi wa taifa (Rais Mama Samia Hassan)?
Hao watu na kundi lao walisha haribiwa na jiweUsiwe na papara Mama amampenda kila Mtoto,aliyekosea atamwelekeza kadiri ya malezi ya Mama.
Huyu hata bachelor hakumaliza huyuKasoma UMass halafu hata spelling za chuo chake hajui?