Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Inaelekea mama hakurupuki wala hana jazba. Pamoja na kelele za watu mitandaoni yeye hatua zake ni za taratibu na za busara akijitofautisha na mtangulizi wake katika style ya kuwawajibisha wasaidizi wake ambapo anatumia njia za staha sana na kuheshimu watu hata kama wanatuhumiwa kufanya makosa

Hata kitendo ch kuchelewesha teuzi za ma DC na ma RC nadhani anajipa nafasi ya kuwafahamu vizuri waliopo na pia kuangalia waliokua nje ya hao ili ateuwe kwa umakini. Yaelekea hataki kuamini moja kwa moja orodha anayoletewa na hao wafanya vetting kwani wakati mwingine wanakua na interest zao

Tusubiri tuone
 
Hapa vidonge vikiingia hadi akavua miwani
 

Attachments

  • VID-20210513-WA0041.mp4
    1.6 MB
Halafu hapo kuna waziri alitakiwa amshuhulikie huyo kada lakini anakenuatu.
Hugo waziri nae aliwe kichwa
 
Ukitaka mataga wafurahi we waambie maza na mwendakuzimu marehemu dikiteta magufuli ni kitu kimoja.
 
Sabaya alitumwa jimbo la Hai na Magufuli kwenda kulawiti wananchi kisa ni jimbo la upinzani.Magufuli was a hopeless sinner who died for a good reason!
hapa mama anajaribu kuwaeleza hivyo pia[emoji23][emoji23][emoji23]

nao nyumbu wanashangilia.
 
1. Hakuna mazuri kafanya?

2. Au mabaya yamezidi mazuri?

3. Kipindi cha SSH amefanya makosa mangap? Yapi?
 
Huyu Ole Sabaya habari zake ni muda sasa amekuwa akilalamikiwa.
Lakini mamlaka ya uteuzi huko nyuma walikuwa wanamuangalia tu.
Walioingia sasa hawataki unafiki, ni mwendo wa tengua tu.
Kuna wahuni hawataki haya mambo yanayotendekea kwa sasa. Hawaamini kabisa.
 
Ahaaa, hakuna haja ya kusubiri.

Yule mwingine umemsahau? Alisema yeye huwa hapangiwi!

Kwanini mama mnataka kumpangia?

Ngoja mama aendelee kudonyoa mmoja mmoja. Pale wizara ya afya, mbeya, bot, TPA nk bado pana vichwa vya kula.

Huyu katelefoni anaweza kuwa na kichwa kitamu zaidi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Nimepata mda wa kuteta na mtu wa jikoni jioni ya leo.

Amenijulisha kwamba mechi hiyo iliahirishwa ili Simba wasipate majeruhi kuelekea mechi yao ya Club bingwa Africa.

Huyu mtonyaji amenipasha kuwa, interijesia ilionyesha kwamba endapo tu mechi ingechezwa Simba wangepata majeruhi.

Ni hayo tu.
 
Yule mwingine umemsahau? Alisema yeye huwa hapangiwi!

Kwanini mama mnataka kumpangia?

Ngoja mama aendelee kudonyoa mmoja mmoja. Pale wizara ya afya, mbeya, bot, TPA nk bado pana vichwa vya kula.

Huyu katelefoni anaweza kuwa na kichwa kitamu zaidi.

Au nasema uongo ndugu zangu?
Unadonyoa kwa lipi?
 
Back
Top Bottom