Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Du! Ilikuwaje akapewa UDC ikiwa alishafoji nyaraka za kitengo nyeti cha serikali.Mmmmm
 
Jamaa huyu alimpiga mlinzi wa Freeman mbowe kidogo amuuwe ponea ya yule mlinzi ilikuwa ni kulia kwa kimasai, alafu lilichukuwa demu wa mchizi kwa force jamaa huyu anastahili kunyongwa hadharani mana ni muuni na muuwaji
 
Clouds m-balance story mtawaponza ma-sponsor wenu, zama zimebadilika
 
Nafasi ya UDC sio ya kudumu. Haina maajabu kutumbuliwa. Hahitaji gross misconduct kutumbuliwa. Ni ili mradi mamlaka za uteuzi haziridhishwi na wewe.
Kama aliwahi kumvimbia RC basi haikubaliki.
Ila jamani social media imekuwa na nguvu sana awamu ya sita.
 
Nakuunga mkono [emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]
 
Ngoja SUKUMA GANG waje
 
Mmechanganyikiwa nyinyi msiojua samia alikuwa makamu wa magufuli.
[emoji3][emoji3]sasa anayofanya mnamuunga mkono.
Asante kwa kukiri mwenyewe kuwa TUNAUNGA MKONO. Ni kweli tunaunga mkono yale mema Mama anayoyafanya.

Au umesahau kuwa ni nyienyie mlikuwa mnasema Upinzani sio kupinga kila kitu?
Sasa nashangaa tunapoamua kutokupinga kila kitu nyie Mataga mnanuna.

Hahaha...kweli Mama amewashika pabaya
 
Cheo gwaride leo right marker....kesho wakishasema nyuma geuka unakuwa mwisho.

Vijana wajinga wajinga sampuli ya Sabaya huishia ukingoni. Na asiote tena utumishi wa umma.
 
Inaonekana kama hauridhishwi vile na maamuzi ya Mheshimiwa Rais.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…