I had no idea Ana CV ya ovyo kiasi hicho.Huyo? Unaanzaje kupata nyeg* kwamfano? Mbakaji? Alivyo mshamba? Hapana bana. Inamdisqualify kila kitu. Tunamsubiria kaka mbowe akafanye yake
Bado NdugaiSijarishishwa kabisa. Sabaya ameonewa. Wenye tuhuma kama za kwake za mitandaoni ni wengi kwa waliokuwa viongozi awamu ya 5. Sabaya atendewe haki. Tuhuma zinazoelekezwa kwake zipo nyingi kwa watu mbali mbali toka JPM aingie madarakani. Ameonewa ameonewa ameonewaaa.
Subiri kuna safu inakuja ya wakuu wa mikoa, Wilaya, Wakurugenzi na wengine. Hutawasikia wa aina ya Sabaya. Na leo tumbuliwa ya Sabaya ni wametumiwa Habari kwa Njia ya upepo. Huko walipo wakiamka kesho watakuwa wapole kama wamemwagiwa maji ila haisaidii maana mafaili yao hawawezi badilisha huko kitu.Sijarishishwa kabisa. Sabaya ameonewa. Wenye tuhuma kama za kwake za mitandaoni ni wengi kwa waliokuwa viongozi awamu ya 5. Sabaya atendewe haki. Tuhuma zinazoelekezwa kwake zipo nyingi kwa watu mbali mbali toka JPM aingie madarakani. Ameonewa ameonewa ameonewaaa.
Hakika mkubwa kila uchao wanaendelea kuona mambo yanavyobadilika.Kuna wahuni hawataki haya mambo yanayotendekea kwa sasa. Hawaamini kabisa.
Ndugai ni speaker. Hatumbuliki kirahisi kama haters wanavyoamini.Bado Ndugai
Yeye mwenyewe maza anasemajeMaza na mwendakuzimu marehemu dikiteta magufuli ni kitu kimoja wale.
Inawezekana kupitia chama. Tena mbona rahisiNdugai ni speaker. Hatumbuliki kirahisi kama haters wanavyoamini.
Yule tuna muuachia Mungu.Ndugai ni speaker. Hatumbuliki kirahisi kama haters wanavyoamini.
She is pretty yes but am a woman.
Am here admiring the dark complexion.
Imetoka hiyo mambo ya akiba nenda kwenye vicoba huko.Haya.
Ndo maana nimewaambia bakisheni akiba ya maneno..
Kusimamishwa.
Kutenguliwa haya NI MANENO mawili tofauti.
Muwe mnaelewa.
Wanaume hatutumii emojikwani makonda kafanyaje[emoji23][emoji23][emoji23]
yuko insta huko anazurula na nissan v8 wala hana habari na mtu.
🤣🤣🤣🤣🤣 yaani leo hii thread napita na kusoma kila post. Silali nakwambia. Ni burudani tosha. Hata kuku wa Eid siyo mtamu kama habari ya leo. Ni tamu haswaaa. Leta Mvinyo😍😍😍Mwataka niwatolee nani Idd hii,,
Watu wale wakajibu "twamtaka sabaya"
he is a criminal simply kabisa1. Hakuna mazuri kafanya?
2. Au mabaya yamezidi mazuri?
3. Kipindi cha SSH amefanya makosa mangap? Yapi?