MATAGA mtataga mayai mekunduMama anademka na nyumbu [emoji23][emoji23][emoji23]
nao haoooooo.
eid mubarak nyumbuuuzi.
wekeni huu uzi,mtakuja kunishukuru mbeleni huko.
Mbna yeye anawalawiti wenzie,Huyu Sabaya alifaa kulawitiwa!
hii ishu ya kutolewa sabaya inaonesha wazi imekuumiza kisa tu chadema wanafurahia senge sana wwhii si kwa ajili ya kuwademsha chadema[emoji23][emoji23]
tulieni kwanza nao wafurahi.
Kwa tarifa yako atarudi 2025#MboweChadema mlipaswa kumshukuru huyu bwana mdogo maana alishawaonyesha njia kuwa inawezekana kumtoa bwana yule kwenye ubunge wa kudumu so kazi kidogo libaki kwenu tu kumchomoa katika uenyekiti wa maisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sio account yake, ya kwake ni @powersabaya sasa hivi sio power tena ni joka la kibisa
The world is never fair. Kila mtu na bahati yake.Sabaya hayupo peke yake, hasa kama issue ni aina ya uongozi wa viongozi wengi DCs na RCs wa awamu ya 5. Kusiwepo na dano standadis katika kuwajibishana.
RC Annie Mghwira ni mchamungu na mwombaji sana. Ni kiongozi makini mno. Aliwavumilia sana Kippi na Sabaya. Sasa Kippi ajikague.Mungu ni mwema wakati wote.
Ni vema DC Ole sabaya akamwomba radhi mama Mghwira kwa namna yeye na DC mstaafu wa Moshi mh Kippi walivyokuwa wanamdharau kwa sababu tu ametokea kwenye chama cha upinzani.
Hawa vijana wawili walimpa wakati mgumu sana Dr Mghwira na zaidi Ole aliutamani uRC.
Eid Mubarak!
Daah sikuwahi kuiona hii clip...ndio nimeiona leo..dah roho imeniuma utafikiri huyu baba ni ndugu yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umpambanie kwa lipi sasa? KhaaaaahKwenye huu uzi nilijua tu nitatajwa.
Ila ngoja nimpambanie
Afungwe kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umpambanie kwa lipi sasa? Khaaaaah
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Safi mama bado na yule RC wa Mbeya
HahahaahahaHapana. Acha wivu.
Anakutigolise wewe pekee Yako.
Kabla maamuzi hayajafanyika siku hizi unakuta vijana wa kazi waneshakusanya taarifa zote ziko juu ya meza. Na nikuambie tu by the time tangazo la kusimamisha au kufukuza kazi linatoka hata access na bank huna na muda huo huo vijana wako mlangoni kuchukua pasi ya kusafiria na ku search vitu muhimu ndani ya nyumba na ofisini. Habari ndiyo hiyo.Ukiwa kiongozi mwenye maono muite na muulize tatizo ni nini? Baada ya hapo tafuta mbinu ya kusikiliza upande unaolalamika baada ya hapo fanya maamuzi, tofauti na hivyo huu ni mwendelezo wa Rais anae sikiliza maoni ya watu pasipo kujiridhisha.
Tunywe supuMama katupa zawadi ya Eid
Pigo kubwa kwa wafuasi wa Roho mbaya na MagufulimavicationHuyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Wamelinyosha lisabaya na washenzi wengine wakomeKabla maamuzi hayajafanyika siku hizi unakuta vijana wa kazi waneshakusanya taarifa zote ziko juu ya meza. Na nikuambie tu by the time tangazo la kusimamisha au kufukuza kazi linatoka hata access na bank huna na muda huo huo vijana wako mlangoni kuchukua pasi ya kusafiria na ku search vitu muhimu ndani ya nyumba na ofisini. Habari ndiyo hiyo.
DC wa Arusha naye atupweKabisa. Akiweza ku deal na hawa court jesters kama hawa atapata support na mafanikio makubwa.