Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Chadema mlipaswa kumshukuru huyu bwana mdogo maana alishawaonyesha njia kuwa inawezekana kumtoa bwana yule kwenye ubunge wa kudumu so kazi kidogo libaki kwenu tu kumchomoa katika uenyekiti wa maisha.
Kwa tarifa yako atarudi 2025#Mbowe
 
Sabaya hayupo peke yake, hasa kama issue ni aina ya uongozi wa viongozi wengi DCs na RCs wa awamu ya 5. Kusiwepo na dano standadis katika kuwajibishana.
The world is never fair. Kila mtu na bahati yake.
 
Hongera mama ila swali la kizushi tu kama utapita hapa JF

Vipi baada ya uchunguzi DPP atampeleka mahakamani au ndio umemsaidia kijana kijanja?
 
Mungu ni mwema wakati wote.

Ni vema DC Ole sabaya akamwomba radhi mama Mghwira kwa namna yeye na DC mstaafu wa Moshi mh Kippi walivyokuwa wanamdharau kwa sababu tu ametokea kwenye chama cha upinzani.

Hawa vijana wawili walimpa wakati mgumu sana Dr Mghwira na zaidi Ole aliutamani uRC.

Eid Mubarak!
RC Annie Mghwira ni mchamungu na mwombaji sana. Ni kiongozi makini mno. Aliwavumilia sana Kippi na Sabaya. Sasa Kippi ajikague.
 
Huyo alitakiwa kufukuzwa kabisa. DC waArusha, Iringa na RC wa Iringa warudishwe shamba kuendelea na kilimo
 
Ukiwa kiongozi mwenye maono muite na muulize tatizo ni nini? Baada ya hapo tafuta mbinu ya kusikiliza upande unaolalamika baada ya hapo fanya maamuzi, tofauti na hivyo huu ni mwendelezo wa Rais anae sikiliza maoni ya watu pasipo kujiridhisha.
Kabla maamuzi hayajafanyika siku hizi unakuta vijana wa kazi waneshakusanya taarifa zote ziko juu ya meza. Na nikuambie tu by the time tangazo la kusimamisha au kufukuza kazi linatoka hata access na bank huna na muda huo huo vijana wako mlangoni kuchukua pasi ya kusafiria na ku search vitu muhimu ndani ya nyumba na ofisini. Habari ndiyo hiyo.
 
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.

Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Pigo kubwa kwa wafuasi wa Roho mbaya na Magufulimavication
 
Kabla maamuzi hayajafanyika siku hizi unakuta vijana wa kazi waneshakusanya taarifa zote ziko juu ya meza. Na nikuambie tu by the time tangazo la kusimamisha au kufukuza kazi linatoka hata access na bank huna na muda huo huo vijana wako mlangoni kuchukua pasi ya kusafiria na ku search vitu muhimu ndani ya nyumba na ofisini. Habari ndiyo hiyo.
Wamelinyosha lisabaya na washenzi wengine wakome
 
Back
Top Bottom