Inasikitisha sana kusema kweli. Huyu na Bashite si ajabu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wengine wamewadhalilisha na kuwatesa Watanzania wengi sana pia kujipatia utajiri mkubwa kwa njia haramu. Humu kuna watu walikuwa wanahoji utajiri mkubwa wa Bashite katika kipindi kifupi ikiwemo nyumba na magari ya kifahari. Kuna tuhuma kwamba Bashite naye alikuwa akipita jijini Dar kwa Wafanyabishara wakubwa kukusanya millions kwa jina la maccm. Je, kama ni kweli pesa hizo alizifikisha ccm? Na utajiri wake mkubwa ndani ya kipindi kifupi cha less than 5 years ameupataje!?
Mwenyezi Mungu fundi sana vinginevyo kuendelea kuishi kwa yule dhalimu Watanzania wengi wangedhalilishwa na kunyanyasika sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana. 🙏🏾