Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Sifurahii anguko lake ila Sabaya hafai hata kuwa kiongozi wa familia.
Hana utu maneno na matendo yake yanamuonyesha

Niliangalia mahojiano yake kipindi cha 40 Mins hadi nikabaki namshangaa anavyoongea kwa jazba na kujitapa.

Ilikua kama anataka kupigana na mtangazaji... Nilimchukia tokea siku hiyo.[emoji848]
Noma sana
FB_IMG_1620938613111.jpg
 
Saa hizi unampigia Sabaya unamuuliza kuhusu mwaliko wa kesho pilau itakuaje hahaaahaaha dah! Kesho TAKUKURU NA POLISI ndio wageni wake
Siku hizi press ikitoka tu unakuta wako mlangoni au eneo ulipo maana wanapatiwa location tu kiintelijensia. Halafu unakuta passport imeshafungiwa na Account bank ni freezed. Ataimba mapambio huku akifunga macho unatokea msafara wa aliotesa na kudhulumu. Mungu ni fundi Aisee.
 
Sabaya hayupo peke yake, hasa kama issue ni aina ya uongozi wa viongozi wengi DCs na RCs wa awamu ya 5. Kusiwepo na dano standadis katika kuwajibishana.
Kuna wengine wana sifa na weledi wa kazi, si vyema kumuondoa mtu kama RC Mtaka, Anna Mgwira, Martin Shigella au huyu sasa hapa Dar.
Wengine waliofanya kazi kifedhuli waondoke tu
 
Huyu jela inamwita kama kweli tuliokuwa tunayasikia kayafanya a nakwenda jela
 
Na ukiona watu wanaofurahia anguko lako Jua una matatizo nadhan huyu ni wa pili watu wanafurahi kabisa from the heart....
Ni watatu. Umemsahau zile lazimishalazimisha? Mara fungeni hii, mara Kamata eti watu wanafanya sherehe. Yaani ilikuwa ni shida tu. Hivyo Mimi nahesanu 3 za FURAHA.
 
Serikali ya Magufuli ilijaa viongozi-vibaka kila kona.Imagine huyu jamaa alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Hai ila alikuwa anaenda kulawiti hadi Arusha huko.
 
Serikali ya Magufuli ilijaa viongozi-vibaka kila kona.Imagine huyu jamaa alikuwa ni mkuu wa wilaya ya Hai ila alikuwa anaenda kulawiti hadi Arusha huko.
Uwezo wako binafsi wa kuwashughulikia wapinzani ndio cv tosha ikapelekea teuzi za watu wa hovyo kama kina kihongosi wahuni,vibaka, kupata teuzi
 
Hata mimi simfahamu.
Hiyo clip uliyopost, huyo baba kasema kuna mteja alifika hotelini kwake, ambaye ni msanii mkubwa hapa Tz, sasa alikua anahitajika na sabaya, hadi kufikia kuleta fujo,

Huyo msanii ni nani na jinsia gani. Nahitaji kujuzwa.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom