Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Wanafiki ni nyie msiojua hata mmnachoshabikia

Kutengua na kuteua ni kazi ya Rais, tuliona Lowasa na lugola wakitenguliwa sembuse sabaya🤣

Hii ndio CCM babalao....nyie endeleeni kudemka tuu, wacha ironlady awapeleke kasi
Kweli mashangingi wa ccm ni hatari ! wewe leo ni wa kumtelekeza sabaya kweli ?
 
Hapo ndipo inapothibitisha pasipo shaka kwamba JPM na SSH hawakuwa kitu kimoja kwa vyovyote vile. There was a cold wrangle inside the muscular powers until the whole team is disrupted with frustrations subsequently screwing up each other. Wakianza kushughulikiana kwa mtindo huu upinzani mshindwe ninyi kupoka nafasi hiyo kurejea kwenye anga la kuogelea kama kawa.
Ni muujiza kuweza kuelewana na yule Mungu mtu. Kwa imani ya mama na ubinadamu asingeweza kukubaliana na udhalimu. Ndiyo maana kulikuwa na three attempts. Niishie hapa
 
Kweli mashangingi wa ccm ni hatari ! wewe leo ni wa kumtelekeza sabaya kweli ?

Lini nilishakua nae hadi iwe nimemtelekeza🙄🙄🙄
Kwao CCM ni chama kwanza.... sio kule Chadema pesa na mbowe kwanza
Ndio mjifunze hapa
 
Inasikitisha sana kusema kweli. Huyu na Bashite si ajabu na Wakuu wa Mikoa na Wilaya wengine wamewadhalilisha na kuwatesa Watanzania wengi sana pia kujipatia utajiri mkubwa kwa njia haramu. Humu kuna watu walikuwa wanahoji utajiri mkubwa wa Bashite katika kipindi kifupi ikiwemo nyumba na magari ya kifahari. Kuna tuhuma kwamba Bashite naye alikuwa akipita jijini Dar kwa Wafanyabishara wakubwa kukusanya millions kwa jina la maccm. Je, kama ni kweli pesa hizo alizifikisha ccm? Na utajiri wake mkubwa ndani ya kipindi kifupi cha less than 5 years ameupataje!?

Mwenyezi Mungu fundi sana vinginevyo kuendelea kuishi kwa yule dhalimu Watanzania wengi wangedhalilishwa na kunyanyasika sana. Mwenyezi Mungu ashukuriwe sana. 🙏🏾
Amina ....Mungu ametufuta machozi
 
Tunahitaji heshima na busara za uongozi zirudishwe kama inavyopaswa.
Asante sana Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
 
What a beautiful news!!!!
Mungu anaendelea kusafisha SUKUMA GANG
Good news ingekuwa kutenguliwa lakini kusimamishwa ni sawa na kutafutiwa njia ya kusafishwa tu halafu baadae ateuliwe kuwa RC
 
Mama yetu kipenzi hapa unatufanya tunasherehekea Eid kwa shangwe zote. Huku Arusha kumelipuka kwa furaha. Mama hapa tunakupa miaka yako 20 ya kuiongoza Tanzania.
Mimi naomba ikiwapendeza watanzania tumpe wa milele kabisa mpaka aseme umri hautaki tena. Kutoka sakafu ya moyo wangu. Kwanza yuko neutral kiukabila na kikanda hivyo atatufaa mno kusafisha ile sumu ya ukabila na ukanda iliyopandikizwa na kutugawa.

Mungu ni fundi kamili kabisa.
 
Sijarishishwa kabisa. Sabaya ameonewa. Wenye tuhuma kama za kwake za mitandaoni ni wengi kwa waliokuwa viongozi awamu ya 5. Sabaya atendewe haki. Tuhuma zinazoelekezwa kwake zipo nyingi kwa watu mbali mbali toka JPM aingie madarakani. Ameonewa ameonewa ameonewaaa.
Unaweza kufungua mashtaka ili umnasua na uonevu.
 
Back
Top Bottom