Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

View attachment 1783578Rais wa Tanzania Samia Suluhu, amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai ndugu Ole Sabaya.

Habari ndo hiyo

Nawatakia Eid Njema.

====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha

CHAMA: CCM

#NA SASA KAZI IMEANZA#

TAARIFA ZA ELIMU YAKE

SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA

BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA

UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.

FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL

STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.

OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.

CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.

CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE

SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL

YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010

CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014

Mama anajua kutupa raha. Hawa ndiyo waliokuwa wanalia machozi ya damu msibani.

IMG_20210513_200524_882.jpg

Gambo aliona mbali ya kutosha kutokujiegemeza kwa mwendazake peke yake.

Haiyumkiniki hata bwana bashite pia.
 
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Amemsimamisha kupisha uchunguzi, hajamfukuza kazi. Kuna ubaya kuchunguza tuhuma za kiongozi wa umma? Unadhani Rais hana vyanzo vyake vya taarifa?
 
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!

Kasimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Akichunguzwa akakutwa hana hatia basi atarejeshwa kazini, hajafukuzwa wala uteuzi wake kutenguliwa bali kasimamishwa.

Mitandaoni kuna taarifa muhimu sana ambazo si za kupuuzwa hata kidogo. Acha zifanyiwe kazi, kama hazina ukweli basi haki itatendeka.
 
Kasimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Akichunguzwa akakutwa hana hatia basi atarejeshwa kazini, hajafukuzwa wala uteuzi wake kutenguliwa bali kasimamishwa. Mitandaoni kuna taarifa muhimu sana ambazo si za kupuuzwa hata kidogo. Acha zifanyiwe kazi, kama hazina ukweli basi haki itatendeka.
Shenziiii mtajifariji sana
 
Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Kwa hyo we ulitakaje mkuu??

Au wewe ndiye Sabaya mwenyewe nini!!
Mbona imekukeraaaaaah??
 
Oh!
Asante Mungu [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Back
Top Bottom