Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🥺🥺🥺 alilawiti na kuua?Huyu alikuwa wa kumfukuza kazi kisha kukusanya udhahidi dhidi ya maovu yake mbali mbali ya kupora watu, kuwadhalilisha kwa namna mbali mbaliu, kuwalawiti na kuwajeruhi nadhani pia kuna tuhuma za mauaji dhidi ya huyo dhalimu.
Hahahahahahahhahahahahaaa kooote huko sijaona ila hii picha nimebust kwa kicheko jamani🤣🤣🤣.View attachment 1783578Rais wa Tanzania Samia Suluhu, amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai ndugu Ole Sabaya.
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Huyu anatakiwa afukuzwe kabisa sio kumsimamisha , mbona ushahidi we maclip kibao yapo akifanya uhalifu openly .Huyu alipaswa kuchukuliwa hatua muda mrefu, anyway its never too late.
Sidhani kama kuna haja ya kufanya uchunguzi kwani ushahidi wa maovu yake upo wazi kabisa. Ahukumiwe tu
Jokate anapiga kazi nzuri apewe Mkoa wa Mbeya
View attachment 1783578Rais wa Tanzania Samia Suluhu, amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai ndugu Ole Sabaya.
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Yeah.I hear you.
I'm a guy, couldn't careless about Sabaya.
Nao waunganishwe kwenye tuhuma za SabayaKwahiyo tuseme Clouds tv wamekula hela ya bure...
Pamoja na yule RC wa IringaSafi mama bado na yule RC wa Mbeya
Wewe ni katundu mnooooHahahahahahahhahahahahaaa kooote huko sijaona ila hii picha nimebust kwa kicheko jamani🤣🤣🤣.
Waiterrrrrr🥂🥂🥂
"Piga mchungaji mkuu mwovu na vikondoo vidogo vidogo viovu vitatawanyika na kukamatwa kimoja kimoja na kuchinjwa kabisa"