Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake


Mama anajua kutupa raha. Hawa ndiyo waliokuwa wanalia machozi ya damu msibani.



Gambo aliona mbali ya kutosha kutokujiegemeza kwa mwendazake peke yake.

Haiyumkiniki hata bwana bashite pia.
 
Amemsimamisha kupisha uchunguzi, hajamfukuza kazi. Kuna ubaya kuchunguza tuhuma za kiongozi wa umma? Unadhani Rais hana vyanzo vyake vya taarifa?
 

Kasimamishwa kupisha uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili. Akichunguzwa akakutwa hana hatia basi atarejeshwa kazini, hajafukuzwa wala uteuzi wake kutenguliwa bali kasimamishwa.

Mitandaoni kuna taarifa muhimu sana ambazo si za kupuuzwa hata kidogo. Acha zifanyiwe kazi, kama hazina ukweli basi haki itatendeka.
 
Shenziiii mtajifariji sana
 
Kwa hyo we ulitakaje mkuu??

Au wewe ndiye Sabaya mwenyewe nini!!
Mbona imekukeraaaaaah??
 
Oh!
Asante Mungu [emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488][emoji1488]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…