Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Malisa amefupisha sana maelezo ya Sabaya. Ana uovu mwingi ambao hauelezeki dhidi ya binadamu. Mtu pekee wanayeendana kimatendo na Sabaya ni Malyamungu kipindi cha Idd Amin. Bashite naye alikuwa balaa sema Sabaya sio poa alizidi.
 
Kama ni kweli ,Sabaya Hata usipofungwa utakuja kufa kifo Cha aibu Sana,why kuwapa WATU wa mungu mizigo mizito ambazo sio za kweli wakati wewe unaendelea vimbisha mashavu , na kuishi Maisha ya raha ,jiandae asema bwana na imekua
 
Mwendazake alikuwa anaibuka chachi kila j2 na kusali blaaa!! Makanisa yanakwama wapi kujenga watu wanaoabudu katika kweli?? Hasa roma dah mpaka inatiisha! Viongoz batili sikuhizi wanajifichiamo kwenye kujidai kusaali na kutaja vimistari vya biblia... Kanisa lolote linafaa litupe watu strong,smart and kind!! Dhaifu,wahovyo na katili
 
wakati mwingine mtu anaweza kua na matatizo lakini mnazidisha na chumvi
Izidishwe chumvi ili isaidie nini? Wewe unataka kumtetea Sabaya wakati hata kwa sura hujawahi kumuona! Sisi watu wa Arusha tunamjua physical kabla hata hajapata huo ukuu wa wilaya, na alipoupata na umungu alijipa. Hivi hujiulizi kwanini watu wote waseme wewe mbaya? Kwanini sio wengine? Tanzania Ina wakuu wa wilaya zaidi ya 120.. kwanini yeye tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…