Kingdom Finder
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 1,119
- 1,391
Kweli Mungu adhihakiwi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna msemo maarufu unaosema, ukitaka kumjua mtu tabia zake vizuri mpe vitu 2:Dah.
Power can really corrupt people.
Unaumwa weweKubalance story, wasikilizwe na uliowataja isijekuwa unachuki tu na sabaya ndio maana umeandika yote haya.
Ukuu wa Wilaya nani akulipe?Hivi kusimamishwa kazi mshahara si anapata kama kawaida?
Kumbe ana kesi tena ya jinai?? HahahAAAAahaha
Unavyoshangilia kama izo nafasi utateuliwa wewe mkuuHapo sasa safi, pia yule RC wa Iringa, na yule chalamila wa mbeya watumbuliwe.
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Kama ni kweli ,Sabaya Hata usipofungwa utakuja kufa kifo Cha aibu Sana,why kuwapa WATU wa mungu mizigo mizito ambazo sio za kweli wakati wewe unaendelea vimbisha mashavu , na kuishi Maisha ya raha ,jiandae asema bwana na imekuaMheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan hawa pichani ni waliokuwa walinzi wa Freeman Mbowe. Kuna Khalifa Hassan, Adam Kasekwa (ADAMO) na Mohamed Lingwenya.. Freeman Mbowe aliongeza ulinzi wa kutembea nao baada ya kuvamiwa Dodoma na kuvunjwa mguu wake wa kulia.
Wakati wa kuelekea uchaguzi mkuu (aliyekuwa DC wa HAI) Lengai Ole Sabaya na genge lake walivamia hotel ya Freeman Mbowe inaitwa 'Protea Hotel Aishi Machame', huko Hai, wakawakamata hawa watu, wakapewa kesi ya UGAIDI. Pia wakabebeshwa mzigo wa nguo na sare za JWTZ na wakaambiwa wamekutwa nazo, wakapewa na vilipuzi.
Mashtaka mengine ni kukutwa na silaha pamoja na dawa za kulevya aina ya Heroin.. Waliteswa sana. Walipigwa sana. Waliumizwa sana. Tazama makovu yao. Waone walivyokondeana. Hawa wanaishi Tundu la choo hapa, pua zao hapa. Wapo gereza la Segerea.
Wanafungiwa private cell. Kila mmoja room yake. Hawatoki nje isipokuwa saa 11 alfajiri wakati wa kufunguliwa, kuhesabiwa na kupewa uji, saa 3 asubuhi kupewa ugali maharage, na saa 9 mchana wanafungiwa. Muda wote wamefungwa pingu kwenye miguu na mikono yao. Upelelezi haujawahi kukamilika.
Mahakamani hawapelekwi na hata usikilizwaji wa kesi kwa njia za video hawafanyiwi. Mahakama ni kama imewasahau. Sio sawa kabisa hii. Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, kuna watu wanateseka sana kwa sababu ya amri za SABAYA. Wapo wengi, hawa ni baadhi.
Tunamtaka DPP aharakishe upelelezi wa kesi ya hawa ndugu zetu wenye familia zao au vinginevyo, awaachie huru watu hawa wanateseka bila hatia.. Hizi ni roho chafu na hila za shetani. Nchi yetu sio ya kidikteta.. SABAYA amewaumiza sana watu HAI. Ushahidi upo. @ MMM
View attachment 1784238
Jamaa sio mtu kabisaMkuu, nilijua basi uchafu wa huyu jamaa?
Nimepitia comments nimesikitika mno.
Kuna mtoto alikuwa anachezea simu yanguKhaaaah hii comment umeandika wee? Au ume hackiwa? Mbona sitaki kuamini?
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Izidishwe chumvi ili isaidie nini? Wewe unataka kumtetea Sabaya wakati hata kwa sura hujawahi kumuona! Sisi watu wa Arusha tunamjua physical kabla hata hajapata huo ukuu wa wilaya, na alipoupata na umungu alijipa. Hivi hujiulizi kwanini watu wote waseme wewe mbaya? Kwanini sio wengine? Tanzania Ina wakuu wa wilaya zaidi ya 120.. kwanini yeye tu?wakati mwingine mtu anaweza kua na matatizo lakini mnazidisha na chumvi
Acha kufananisha Vitu vya maana na takataka Dadajohnthebaptist wewe ni kinyonga
hata mimi nilitaka kuuliza swali kama hilo!Nani anawapa dhamana za umma watu wa aina hii?
Sanaaa. Full shangwe kila mtaaArusha Sakina na viunga vingine ni sherehe Jambazi limenaswa...
Nandy huyu huyu wa Ruge[emoji848][emoji848][emoji848]