Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Hahahahahahahhahahahahaaa kooote huko sijaona ila hii picha nimebust kwa kicheko jamani🤣🤣🤣.

Waiterrrrrr🥂🥂🥂
 

Kazi IENDELEE
 
"Piga mchungaji mkuu mwovu na vikondoo vidogo vidogo viovu vitatawanyika na kukamatwa kimoja kimoja na kuchinjwa kabisa"

Mchungaji mwovu: Mwendazake Magufuli

Vikondoo vyake viovu: Kina Ole Sabaya, Makonda, Chalamila, Jerry Muro nk nk vinaanza kutawanywa na vinachinjwa kimoja kimoja...

Hakuna UOVU unaodumu...

Haki hudumu daima...

Haileweki hasa huyu kijana Ole Sabaya alikuwa na sababu gani kupambana na Freeman Mbowe - M/kiti wa CHADEMA - Taifa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…