johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kwa sauti kubwaHii inastahili kabisa kuitwa zawadi ya Idd kwa watanzania
Jambazi limetumbuliwa kenge kabisa hili!View attachment 1783578Rais wa Tanzania Samia Suluhu, amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai ndugu Ole Sabaya.
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Sabaya si mtoto, ni mtu mzima hivyo anawajibika kwa kila alilolifanya. Hata kama ni kweli alitumwaKwa Serikali hii Mkuu sahau hilo, Inakuwaje kama akisema yote aliyokuwa akiyafanya kama DC yalikuwa na baraka za mwendazake?
Huyo? Unaanzaje kupata nyeg* kwamfano? Mbakaji? Alivyo mshamba? Hapana bana. Inamdisqualify kila kitu. Tunamsubiria kaka mbowe akafanye yakeHe is good looking though.
Who agrees?
Nimtumbue nisimtumbue ...tumbuaaaaaa.....kuanzzia reoooo wewe sio Mkurrugenzi!😅😅😅😅😅Huyu Madam SSH anafanya kazi au anafanya maamuzi kwa kusikiliza kelele na porojo za mitandaoni.
Ni hatari sana kuwa na Rais anayesikiliza umbea, udaku na mihemuko ya mitandaoni kisha anachukua maamuzi ili kuwaridhisha followers wake.
Kaaazi kweli kweli!!!
Twende mkuu tukalewe aisee..mbona raha namna hiiMama Samia ametupa Furaha ya IDDI Fitiri
View attachment 1783577
Sio fake ni real. hata page ya ikulu imechapishaHii nahisi ni fake
🥺🥺🥺 alilawiti na kuua?
Alivaa miwani myeusi akidhani itaficha machoziRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021
Aidha, Rais Samia amefanya teuzi za Viongozi mbalimbali ambao uteuzi wao unaanza leo
View attachment 1783582
Habari ndo hiyo
Nawatakia Eid Njema.
====
Alizaliwa mwaka 1980 katika mkoa wa Arusha
CHAMA: CCM
#NA SASA KAZI IMEANZA#
TAARIFA ZA ELIMU YAKE
SVISC. MASSACHUSET UNIVERSITY USA
BSC.ED ST JOHN UNIVERSITY DODOMA
UNED: SINIOUR SIX –BUGEMA HIGH SCHOOL-UGANDA.
FORM IV: IKIZU SEC SCHOOL
STD VII: SAMBASHA PRIMARY SCHOOL.
OTHERS: IST: PRESIDENT ST. JOHN’S UNIVERSITY DODOMA 2007.
CHAPEL PREFECT BUGEMA HIGH SCHOOL UGANDA.
CEO: TANZANIA YOUTH DEVELOPMENT CENTRE
SEMINARS BSYMPOSIUM: S. KOREA YOUTH CONFERENCE ,SOUL
YOUTH SUMMIT COMMISSIONED BY HON. PINDA TYDC:2010
CAPRIPOINT YOUTH EMPOWERMENT 2014
View attachment 1783581
Lazima akakanushe clouds keshoRais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amemsimamisha kazi Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya ili kupisha uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazomkabili kuanzia leo, Mei 13, 2021