Saashisha aliwekwa na mwendazake. Watu wa Hai wanajua kuwa kihalali mbunge ni Mbowe!Mbunge wa Hai ni Saashisha siyo Mbowe tena.
Asante sana Sabaya
Mkoa gani huyu
Huwa malipo yauovu mara nyingi ni matokeo dhahiri na ya kuonekana kwa uweza wa Mungu ilikumfunza mwanadamu kuenenda katika njia inayomtukuza Mungu.Makamanda peoples!
Hawa watu waliusumbua sana uongozi wa kaka Freeman Mbowe kule hai Kilimanjaro, hawakuijua nguvu ya Kaka Mbowe hapa nchini sasa watajifunza namna ya kudeal na kiongozi wetu.
Never Again
Watu wa hovyo ndio walioendana na hadhi ya mwendazake watu smart aliwaogopaByakanwa alikuwa RC hovyo sana sanaaa, Mama Samia tumpe hongera sana jamani. Naamini, hata Chalamila ajichunge sana
Chawa wanafosi mpangaji mpya ataki chawaHUNA JEURI YA KUMNYAMAZISHA RAIS WA JMT NA AMIRI JESHI MKUU WA VIKOSI VYA ULINZI NA USALAMA.
Wewe ni sawa na chawa kichwani kazi yake ni kunyonga damu.
Zamu yenu imekwisha sasa tiwachieni sisi tujenge nchi yetu.
ndio maana akapewa yeye pia.
ikionekana hana makosa atapewa tena au atapewa nyingine.
KwiiiiiishaaaaaaChawa wanafosi mpangaji mpya ataki chawa
ndio maana akapewa yeye pia.
ikionekana hana makosa atapewa tena au atapewa nyingine.
Kama alivyofanya Amos Makala.....kuna atakaekuja na kumrudisha Sabaya kwenye system. Andika mahali......utanikumbuka.
Sent from my Infinix X653 using JamiiForums mobile app
Mbowe pia out maana alikataliwa na wananchi kwenye uchaguzi mkuu.Makamanda peoples!
Hawa watu waliusumbua sana uongozi wa kaka Freeman Mbowe kule hai Kilimanjaro, hawakuijua nguvu ya Kaka Mbowe hapa nchini sasa watajifunza namna ya kudeal na kiongozi wetu.
Never Again
Siwaoni mataga kwenye hii madaMakamanda peoples!
Hawa watu waliusumbua sana uongozi wa kaka Freeman Mbowe kule hai Kilimanjaro, hawakuijua nguvu ya Kaka Mbowe hapa nchini sasa watajifunza namna ya kudeal na kiongozi wetu.
Never Again
Nakuona msukule wa sabaya ukihangaika. Kwani, jukumu maalumu la chama ilikuwa ni pamoja na kuvamia, kuteka na kubaka? Je hayo ndo chama kilimtuma ili kuumaliza upinzani?Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.
Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.
Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani
WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.
Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.
Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.
Jitafakari
ni mfanyakazi wa serikali tangiepo.Anaweza asipiwe nyingine yoyote. Kuna mamilioni ya watanzania wenye uwezo, elimu na uzoefu kumzidi. Sabaya hana hatimiliki na kazi za kiserikali
Chalamila ana maujingaujinga lakini si mauaji kama hao jamaa.Byakanwa alikuwa RC hovyo sana sanaaa, Mama Samia tumpe hongera sana jamani. Naamini, hata Chalamila ajichunge sana
Rubbish! Ninakuhakikishia Sabaya hakuwa na interest ya kujenga CCM ila kupora kwa jina la CCM na Magufuli. Kama shida ni CDM kulikuwa na ulazima wa kumwinda Mbowe amuue? Je kupiga na kulawiti wananchi kwa ajili ya siasa!?Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.