Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Rais Samia amsimamisha kazi Ole Sabaya, Mkuu wa Wilaya ya Hai ili kupisha uchunguzi wa tuhuma dhidi yake

Chadema isiwe sababu ya kumwona huyo bwanako kuwa hatakiwi kuwajibishwa. Hata ivyo chadema ni watu wanaotakiwa kuishi kama mtu mwingine yeyote yule. Chadema ni watanzania wazalendo kuliko wewe unaetetea maovu.
Isitoshwe amepisha uchunguzi, wasiwasi wako ni nini?
Akionekana hana tuhuma si itakuwa ushindi kwake?
Hizi porojo wakati uchunguzi hata haujaanza una lengo la kumanipulate majibu ya uchunguzi.
Nyie genge mnapenda kuwaona watu waovu wakiendelea kubakia madarakani ili kuendeleza uovu unaowanufaisha wao na ninyi.

UOVU HAUSHINDI.
 
Kulia na kucheka zote ni kelele huyu Sabaya angepandishwa cheo wapo ambao wangelalamika,kufanyiwa uchunguzi si kosa nae ni mtu mwenye mapungufu kama watu wengine,tulia mkuu ukweli utajulikana.
 
Makamanda peoples!

Hawa watu waliusumbua sana uongozi wa kaka Freeman Mbowe kule hai Kilimanjaro, hawakuijua nguvu ya Kaka Mbowe hapa nchini sasa watajifunza namna ya kudeal na kiongozi wetu.

Never Again
Huwa malipo yauovu mara nyingi ni matokeo dhahiri na ya kuonekana kwa uweza wa Mungu ilikumfunza mwanadamu kuenenda katika njia inayomtukuza Mungu.
 
Byakanwa alikuwa RC hovyo sana sanaaa, Mama Samia tumpe hongera sana jamani. Naamini, hata Chalamila ajichunge sana
Watu wa hovyo ndio walioendana na hadhi ya mwendazake watu smart aliwaogopa
 
Sio lazima apewe tena. Huelewei ukiambiwa hiyo nafasi inatolewa kadri mteuaji anavyojisikia? Mteuaji anaweza kukutengeua hata kama hapendi jinsi unavyocheka, sio lazima uwe na makosa.
ndio maana akapewa yeye pia.

ikionekana hana makosa atapewa tena au atapewa nyingine.
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Nakuona msukule wa sabaya ukihangaika. Kwani, jukumu maalumu la chama ilikuwa ni pamoja na kuvamia, kuteka na kubaka? Je hayo ndo chama kilimtuma ili kuumaliza upinzani?

Hivi nyie MATAGA mnakwama wapi? Nani aliwambia siasa za upinzani ni uadui hadi kufikia kuteka na kuua?
 
Nipo kwenye magroup mengi ya WhatsApp na Facebook nimeona wanaccm wengi sana zaidi ya asilimia 80% walivyochukizwa na kitendo cha Ole Sabaya kusimamishwa na kukiita usalaliti kwa chama, Chadema siwezi kuwalaumu kwa furaha walionayo sasa maana Sabaya aliwaweza sana.

Kiukweli Sabaya licha ya U-DC alikuwa Hai kwa kazi maalumu ya kichama kuvunja ngome ya CHADEMA na hilo alilitimiza kwa kiasi kikubwa.

Wanaccm wamekuwa wachungu najua hapa JamiiForums kuna watu wako huko kwenye makundi wameona hali halisi na kule muhambwe kelele zimeanza kutolewa kuhusu mwenendo wako wa kuwaengua Pro John Pombe Magufuli na kuanza kusuka muungano na upinzani huku WanaCCM waliotembea kifua mbele wakianza kuwa ndio wapinzani

WanaCCM wanahoja za wewe kusema utaanza kuteua kutoka kokote sio mbaya maana hata John Pombe Magufuli aliteuwa lakini sio sera ya chama hapo unaonesha ubaguzi wa kuwataka WanaCCM waanze kujificha na kujiona sio priority tena.

Kijana Sabaya, Arusha alimbana sana Lema akafanikiwa akaenda Hai, Mbowe akaondolewa kuwaona viongozi wa BAVICHA na BAWACHA wakikesha wanakunywa kwa shangwe jua kuna sehemu umekosea na unazidi kukosea kila siku.

Kinachoitwa usaliti wa chama kwa kiongozi mkubwa kama wewe ni ishara mbaya sana.

Jitafakari
Rubbish! Ninakuhakikishia Sabaya hakuwa na interest ya kujenga CCM ila kupora kwa jina la CCM na Magufuli. Kama shida ni CDM kulikuwa na ulazima wa kumwinda Mbowe amuue? Je kupiga na kulawiti wananchi kwa ajili ya siasa!?
Je wewe ukiwa na nduguyo mfanyabiashara ukamuona mtu anakujia saa nane usiku na watu wenye SMG akitaka ampe 10m Tsh au atafungua mashitaka ya uhujumu uchumi? Je yule Asad wa Arusha muuza mapazia alikosa nini au naye alikuwa CDM?Na yule Diwani wa CCM je naye alikuwa CHADEMA?
Hili ni jambazi siyo mwanaccm si lolote wala siyo DC wala mavi yake!
Je matumizi ya magari yenye number fake za UN wakati wa ujambazi. Kuna ushahidi wa kutosha wa CCTV camera na watu wengi wako tayari kutoa ushahidi.
Seriously kama CCM mtindo wa kufanya siasa ni kuteka na kuua wapinzani ni rasmi. Mtuambie tujue ili wapinzani nao wajipange! CDM wameamua kuwa wastaarabu hata pale huyu muhuni alipokuwa anatembea na genge la majambazi aliloyapa silaha za serikali yetu wamevumilia.
Mwache SAMIA arudishe ustaarabu ambao uliondolewa na lile jambazi kuu ambalo Mungu alishuka akalidabua mwenyewe!
GO SSH GOO we are all together in this! Civilize these idiots!
 
Back
Top Bottom