Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Chadema isiwe sababu ya kumwona huyo bwanako kuwa hatakiwi kuwajibishwa. Hata ivyo chadema ni watu wanaotakiwa kuishi kama mtu mwingine yeyote yule. Chadema ni watanzania wazalendo kuliko wewe unaetetea maovu.
Isitoshwe amepisha uchunguzi, wasiwasi wako ni nini?
Akionekana hana tuhuma si itakuwa ushindi kwake?
Hizi porojo wakati uchunguzi hata haujaanza una lengo la kumanipulate majibu ya uchunguzi.
Nyie genge mnapenda kuwaona watu waovu wakiendelea kubakia madarakani ili kuendeleza uovu unaowanufaisha wao na ninyi.
UOVU HAUSHINDI.